Askofu Zakaria Kakobe Aungana na Tundu Lissu: Ni Kuhusu Tanganyika na Zanzibar. Afafanua kwa mapana

Pande zile kwenye Muungano wanakuwa Wazanzibari (wamoja). Wana mtazamo mmoja.
Miaka ya sabini na themanini Mwalimu Nyerere alikuwa akiwasomba Wasukuma na kuwapeleka Zanzibar kwa maelfu unafikiri vizazi vyao vinataka kujitenga?
 
Askofu Kobe ana laana ya kutelekeza mtoto wake wa damu, lissu naye risasi za mbowe zilimlemaza sio miguu tu Hadi ubongo zililemaza, asa ukiwasikiliza watu hawa na ukawaelewa basi ujue uwendawazimu unakunyemelea.
Sasa kwanini wewe ulikubali kuzaa na Askofu wakati ukijua kuwa wewe sio mke wake wa ndoa?
Au uliamini kuwa ukishamzalia mtoto ndo atakuoa kabisa?
 
Chama cha mapinduzi kina maslahi na serikali mbili hata hili la bandari ni mbinu na njama za kutafuta fedha kwa ajili ya kujisatiti na kusalia madarakani.
 
Askofu Kobe ana laana ya kutelekeza mtoto wake wa damu, lissu naye risasi za mbowe zilimlemaza sio miguu tu Hadi ubongo zililemaza, asa ukiwasikiliza watu hawa na ukawaelewa basi ujue uwendawazimu unakunyemelea.
IBARA 4 (2) ya mkataba huu inasema endapo Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini, ndio basi. Yaani nchi huru ikaombe ridhaa Dubai? Tena kwa mali zake? Mkataba wa aina hii ni kichaa peke yake anayeweza kuushabikia.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Qumerniner wewe
 
Kwani wewe ndiye mama wa mtoto ? Mambo ya watu waachie wenyewe

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Safari hii kazi wanayo, wakisema ni upepo tu, matokeo yake ndio kila wengi wanazidi kuibuka kadri siku zinavyosogea..
Hakuna jipya.
Litapita hivi hivi.
Wenye bandari yao wako busy na mchakato
 
IBARA 4 (2) ya mkataba huu inasema endapo Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini, ndio basi. Yaani nchi huru ikaombe ridhaa Dubai? Tena kwa mali zake? Mkataba wa aina hii ni kichaa peke yake anayeweza kuushabikia.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ni nani mwenye uwezo na mamlaka ya ulinzi wa rasilimali za taifa zaidi ya Rais endapo (bandari) zinaporwa, maana huyu tuliye naye ndio hivyo tena.
 
Hakuna aliyeshindwa kujibu hoja za lissu au yeyote Yule, sema kina lissu na co akili zao zimeshajityuni kukataa tu chochote kinachofanywa na serikali watu kama hawa hata upige zeze na kinubi, imba mapambio yote hawawezi wakaelewa make wameamua kukataa tu bila sababu yoyote ya maana.
Wewe ambaye umeumbwa kukubali kila jambo, tufafanulie kwa Nini bandari za Zanzibar zisiwemo kwenye mkataba tukuelewe, pia Tueleze kwa Nini DP World wamiliki bandari zote za baharini , maziwa na nchi kavu kwa kipindi kisicho na ukomo?

Back
Top Bottom