Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Noma sana !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oneni hii mbuziMuungano utavunjika na wala hakuna mtu atalala njaa ...Na taratibu tutaanza kugawa kanda kila mtu akae kwao ...Na wale wageni wengi wataanza kuondoka kabisa.
Ni ujinga kwa vile hata hao waliounganisha watu washakufa naona ,leo wanakuja watu na ujinga .
Kingine hata iweje hatuwezi kuongozwa na Chadema labda wagawe nchi yao ya kaskazini lakini kutawaliwa na wabaguzi hatutaki.
Toa kobazi zako hapa. ZinanukaWagalatia mwaka huu mtanena kwa lugha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa kwanini wewe ulikubali kuzaa na Askofu wakati ukijua kuwa wewe sio mke wake wa ndoa?
Au uliamini kuwa ukishamzalia mtoto ndo atakuoa kabisa?
Oneni hii mbuziHakuna jipya.
Litapita hivi hivi.
Wenye bandari yao wako busy na mchakato
Duu [emoji43][emoji43][emoji13][emoji13][emoji13]Sasa kwanini wewe ulikubali kuzaa na Askofu wakati ukijua kuwa wewe sio mke wake wa ndoa?
Au uliamini kuwa ukishamzalia mtoto ndo atakuoa kabisa?
Mshamba huwezi kuelewaOneni hii mbuzi
Wananchi ndio wenye Mali, na wanao wajibu wa kulinda Mali zao zisiporwe.Ni nani mwenye uwezo na mamlaka ya ulinzi wa rasilimali za taifa zaidi ya Rais endapo (bandari) zinaporwa, maana huyu tuliye naye ndio hivyo tena.
DPW ni karata yake mbovu ya kummaliza kisiasa.
Hadi sasa hana ujasiri wowote.
Nyie mpeni kiburi akaze fuvu hamjui kuwa huu ni mtego toka kwa wanaccm kindaki ndaki?
Mnafikiri eti wapinzani ndio tunapinga DPW.
Subiria mtaona muda si muda
UKo sahihi sana.Wanamshauri vibaya ili wamuangushe. Na kuna ambao wameanza kumshauri atumie nguvu, wanamharibia zaidi ili hapo mbeleni waseme apumzike nchi imemshinda.
Bora Kakobe mrundi na hana cheo chochote Serikalini,Je Makamu wa Rais? Mrundi halafu ndio Raia namba 2.Kakobe mrundi..
Samia mu OmanKakobe mrundi..
Hivi bado yupo huyo tapeli, Kakobe siyo raia wa nchi yetu hilo tunalijua, km amechoka amani ya nchi yetu arudi kwao. Lissu tumeshalijua ni takataka flani nchi hii
Mpango je?Samia mu Oman
Sema weweMpango je?
nyie mnajiburudisha tu subiri kazi ianze,Safari hii kazi wanayo, wakisema ni upepo tu, matokeo yake ndio kila wengi wanazidi kuibuka kadri siku zinavyosogea..
utamjibu mwendawazimu? Au we ndio hao hao?Kama risasi ikamlemaza Lissu ubongo halafu bado mnashindwa kujibu hoja zake? basi nyie mtakuwa ndio mazezeta kabisa.
Na huyo mtoto wa damu aliyetelekezwa na Kakobe, wewe ndie mama wa mtoto?!
Wewe unaogopa??,,😅Sema wewe
Ngoja kwanza atusaidie kudai Tanganyika yetuHivi bado yupo huyo tapeli, Kakobe siyo raia wa nchi yetu hilo tunalijua, km amechoka amani ya nchi yetu arudi kwao. Lissu tumeshalijua ni takataka flani nchi hii
Siwezi kusema nisicho na uhakika lkn nina uhakika na Samia tuWewe unaogopa??,,😅