Askofu Zakaria Kakobe Aungana na Tundu Lissu: Ni Kuhusu Tanganyika na Zanzibar. Afafanua kwa mapana

Askofu Zakaria Kakobe Aungana na Tundu Lissu: Ni Kuhusu Tanganyika na Zanzibar. Afafanua kwa mapana

Muungano utavunjika na wala hakuna mtu atalala njaa ...Na taratibu tutaanza kugawa kanda kila mtu akae kwao ...Na wale wageni wengi wataanza kuondoka kabisa.

Ni ujinga kwa vile hata hao waliounganisha watu washakufa naona ,leo wanakuja watu na ujinga .

Kingine hata iweje hatuwezi kuongozwa na Chadema labda wagawe nchi yao ya kaskazini lakini kutawaliwa na wabaguzi hatutaki.
Oneni hii mbuzi
 
Sasa kwanini wewe ulikubali kuzaa na Askofu wakati ukijua kuwa wewe sio mke wake wa ndoa?
Au uliamini kuwa ukishamzalia mtoto ndo atakuoa kabisa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
DPW ni karata yake mbovu ya kummaliza kisiasa.
Hadi sasa hana ujasiri wowote.

Nyie mpeni kiburi akaze fuvu hamjui kuwa huu ni mtego toka kwa wanaccm kindaki ndaki?
Mnafikiri eti wapinzani ndio tunapinga DPW.
Subiria mtaona muda si muda
Wanamshauri vibaya ili wamuangushe. Na kuna ambao wameanza kumshauri atumie nguvu, wanamharibia zaidi ili hapo mbeleni waseme apumzike nchi imemshinda.
 
Wanamshauri vibaya ili wamuangushe. Na kuna ambao wameanza kumshauri atumie nguvu, wanamharibia zaidi ili hapo mbeleni waseme apumzike nchi imemshinda.
UKo sahihi sana.
Hivi uko na watu wanausaka urais miaka mingi, akina Mwigulu na wenzake unafikiri wanamtakia mema?
 
Kama risasi ikamlemaza Lissu ubongo halafu bado mnashindwa kujibu hoja zake? basi nyie mtakuwa ndio mazezeta kabisa.

Na huyo mtoto wa damu aliyetelekezwa na Kakobe, wewe ndie mama wa mtoto?!
utamjibu mwendawazimu? Au we ndio hao hao?
 
Hivi bado yupo huyo tapeli, Kakobe siyo raia wa nchi yetu hilo tunalijua, km amechoka amani ya nchi yetu arudi kwao. Lissu tumeshalijua ni takataka flani nchi hii
Ngoja kwanza atusaidie kudai Tanganyika yetu
 
Back
Top Bottom