Biblia inatuambia alihudhuria harusini ila haisemi kuwa alifungisha ndoa.Injili ya Yohana sura ya 2 anzia mstari wa 2.
Yesu alihudhuria sherehe ya harusi kana sasa sijui hoja yako ni ipi.....hiyo harusi aliifungisha nani sasa wewe au[emoji28][emoji28][emoji28]
Kitendo cha wazazi wa pande mbili kukubaliana kuhusu muunganiko wa watoto wao tayari Mungu anakuwa ameshabariki tayari.Imeandikwa alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.
Sasa hapo mtu asie wa dini anawezafunganisha? Na ni nani alie mkuu katika taasisi za kidini ki Mungu?
Umetisha sana mkuu2nyakati 24:2-4
Umeambiwa Yehoyada alikuwa kuhani,huyo kuhani ni bibi yako? Huna helaNdugu nimeusoma huo mstari hakuna kiongozi wa dini amefungisha ndoa hapo.
Adam na Eva walifungaje ndoa; hakukua na baraka nyingine zaidi ya utashi wao binafsi?Wakuu kwema,
Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani?
Sihitaji Hadithi au andiko lisiloonyesha ninachokizungumza moja kwa moja.
Nimesema nukuu itoke kwenye Biblia au Quran si kwamba siheshimu dini zingine hapana, hivi vitabu ndivyo navifahamu.
Asante.
Nataka niile hiyo hela!Wakuu kwema,

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Injili ya Yohana sura ya 2 anzia mstari wa 2.
Yesu alihudhuria sherehe ya harusi kana sasa sijui hoja yako ni ipi.....hiyo harusi aliifungisha nani sasa wewe au[emoji28][emoji28][emoji28]
Wakuu kwema,
Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani?
Sihitaji Hadithi au andiko lisiloonyesha ninachokizungumza moja kwa moja.
Nimesema nukuu itoke kwenye Biblia au Quran si kwamba siheshimu dini zingine hapana, hivi vitabu ndivyo navifahamu.
Asante.
Wakuu kwema,
Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani?
Sihitaji Hadithi au andiko lisiloonyesha ninachokizungumza moja kwa moja.
Nimesema nukuu itoke kwenye Biblia au Quran si kwamba siheshimu dini zingine hapana, hivi vitabu ndivyo navifahamu.
Asante.
Nafikiri mahari ikitolewa, watu wakapika chakula Yao na divai hapo, hiyo tayar ndoaAndiko kama halipo watu wanatumia dini kuwa control watu kama kulikuwa na ulazima mungu angesema
Yesu alikuwa anapenda sana kwenda katika harusi kuna harusi moja alikwenda kama ingekuwa lazima viongozi wa dini kuwafungisha watu ndoa ndio mungu akubali basi siku ile Yesu angefungisha lakini alifanya jambo alilopenda mwenyewe walimuuliza mama ake aliwaambia atakalofanya msikilizeni basi akageuza maji kuwa pombe hapa inaonyesha jamaa kwenye mambo ya pombe yupo poa na itakuwa alikunywa tu
Muhamad alimuoa Khadija mwanamke tajiri kama Leo tunasema zali la mental kwa maana muhamad alikuwa kapuku hana hata hela unaambiwa iyo hela ya mahari katoa khadija je huyo aliefungisha ndoa yake alikuwa sheikh gani?
Ukija kuangalia hayo matukio utakuja kugundua hakuna ya haja ya mchungaji au sheikh au padri au kiongozi yoyote wa dini kuwafungisha watu ndio maana Yesu mwenyewe kaenda katika harusi hakufungisha watu ndoa sana sana kageuza maji kuwa pombe na Muhamad kama mwenyewe kiongozi hajafungishwa na sheikh hakuna ulazima wa sheikh kutaka kufungisha watu ndo nyie wakristo na waislam mumepata wapi huo utaratibu ?
Si unajua zinakopatikana. Kasome Biblia Sheikh.
Watu walianza kuoana hata kabla ya hivi vitabu vya hekaya kuandikwa. Hivyo, hakuna jipya wala hoja hapa.Wakuu kwema,
Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani?
Sihitaji Hadithi au andiko lisiloonyesha ninachokizungumza moja kwa moja.
Nimesema nukuu itoke kwenye Biblia au Quran si kwamba siheshimu dini zingine hapana, hivi vitabu ndivyo navifahamu.
Asante.
Kwani wewe unaweza kutuambia hili andiko lako kuna mahali limeandikwa kwenye kitabu cha maandiko matakatifu ????Wakuu kwema,
Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani?
Sihitaji Hadithi au andiko lisiloonyesha ninachokizungumza moja kwa moja.
Nimesema nukuu itoke kwenye Biblia au Quran si kwamba siheshimu dini zingine hapana, hivi vitabu ndivyo navifahamu.
Asante.
Tena hapo kwa Yakobo ndio patamu wake wote kaolea nchi ya ugeni ambako hutegemei kuwa na kiongozi wa dini yake.Labda tu namimi niongezee maswali mawili yanayohusiana na mada hii.
1. Baba wa iman Ibrahim inasemekana alikuwa na wake wawili nikiongozi gani alifungisha hizo ndoa?
2. Jacob mwana wa isaka alikuwa na wake wawili (mtu na dada yake) nikiongozi gani wa dini alifungisha hizo ndoa?
Yangu ni hayo tu wakuu
Kwanza nakili hakuna andiko linaloagiza viongozi wa dini kufungisha ndoa, sema Mungu anaheshimu mapatano mkisha patana kwamba kwenye jambo fulani utaratibu utakuwa ni huu na huu Mungu nae anaweka signature, so halipo andiko lakini kijamii mmeshakubaliana kwenda kinyume ni dhambi rejea mf wa Anania na Safira.Wakuu kwema,
Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani?
Sihitaji Hadithi au andiko lisiloonyesha ninachokizungumza moja kwa moja.
Nimesema nukuu itoke kwenye Biblia au Quran si kwamba siheshimu dini zingine hapana, hivi vitabu ndivyo navifahamu.
Asante.
Jibu swali acha kuuliza swali juu ya swalinikuulize swali.....Dini iliyokuwepo kipindi cha Yesu ni ipi
Ili uielewe Biblia ni lazima ujifunze mazingira+utamaduni wa Wayahudi kipindi cha Yesu