Atakayenionesha andiko linalosema mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini nampa laki 1 akale sikukuu

Injili ya Yohana sura ya 2 anzia mstari wa 2.
Yesu alihudhuria sherehe ya harusi kana sasa sijui hoja yako ni ipi.....hiyo harusi aliifungisha nani sasa wewe au[emoji28][emoji28][emoji28]
Biblia inatuambia alihudhuria harusini ila haisemi kuwa alifungisha ndoa.
 
Imeandikwa alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.
Sasa hapo mtu asie wa dini anawezafunganisha? Na ni nani alie mkuu katika taasisi za kidini ki Mungu?
Kitendo cha wazazi wa pande mbili kukubaliana kuhusu muunganiko wa watoto wao tayari Mungu anakuwa ameshabariki tayari.
 
Ndoa Halali hutambulika tu pale ambapo umeshamaliza kulipa mahari na mzazi kukukabidhi binti yake kumbuka sio lazma huyo binti akupende maana haya mambo ya kupendana yameanza karibuni na ndio chanzo kikubwa Cha uasherati sikumbuki ni mstari gani kwenye bible jamaa alilipishwa mahari mara mbili ili apewe mke[emoji3][emoji3]

Sent from my RMX2189 using JamiiForums mobile app
 
Sio kila tukio lazima liandikwe in details kama unataka hivyo bible ingekua kitabu kikubwa sana.

Ikiandikwa ndoa translate katika ujumla wake kwamba ni tendo linalofanyika kwa utaratibu upi.

Kila jamii ina utaratibu wa kufanya jambo na utaratibu huo ukifuatwa inahesabika kuwa jambo hilo ni halali.

Mungu anatambua na kuheshimu taratibu walizojiwekea binadamu.

Kwahiyo kama jamii imekubali utaratibu flani utumike katika jambo flani basi ni vyema kila mtu ndani ya hiyo jamii aufuate huo utaratibu.

Kwahiyo kama imeshakubalika kwamba kiongozi wa kidini ahusike katika kufungisha ndoa inabakia hivyo.

Usipofuata unakwenda kinyume na utaratibu wa kijamii na kwakua Mungu anaheshimu yale wanadamu wamekubaliana basi yakupasa kufuata utaratibu.

Usipofuata unamkosea hata Mungu.
 
Wakuu kwema,

Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani?

Sihitaji Hadithi au andiko lisiloonyesha ninachokizungumza moja kwa moja.

Nimesema nukuu itoke kwenye Biblia au Quran si kwamba siheshimu dini zingine hapana, hivi vitabu ndivyo navifahamu.

Asante.
Adam na Eva walifungaje ndoa; hakukua na baraka nyingine zaidi ya utashi wao binafsi?
 
Wakuu kwema,

Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani?

Sihitaji Hadithi au andiko lisiloonyesha ninachokizungumza moja kwa moja.

Nimesema nukuu itoke kwenye Biblia au Quran si kwamba siheshimu dini zingine hapana, hivi vitabu ndivyo navifahamu.

Asante.
Nataka niile hiyo hela!

Kwani Paulo mtume hakulizungumziaga hili jambo kweli?

Umenipa home work ya ridhaa ujue!

Nikijipinda najua lazima nitakula hiyo bingo.

Tatizo haujaeleza Method ya ugawaji wa hiyo zawadi, haujaiweka wazi.

Pia haujataja majina ya Bodi members wa kusahisha huo mtihani ili tuyatathimini.

Twaweza kutoa majibu ya kweli, hela ikakuuma ukaanza ligi ya kibishi.

Usitusomeshe makaratasi kwenye hamna bhana!

Weka kwanza vigezo na masharti mimi niingie mzigoni.
 
Injili ya Yohana sura ya 2 anzia mstari wa 2.
Yesu alihudhuria sherehe ya harusi kana sasa sijui hoja yako ni ipi.....hiyo harusi aliifungisha nani sasa wewe au[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakuu kwema,

Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani?

Sihitaji Hadithi au andiko lisiloonyesha ninachokizungumza moja kwa moja.

Nimesema nukuu itoke kwenye Biblia au Quran si kwamba siheshimu dini zingine hapana, hivi vitabu ndivyo navifahamu.

Asante.

Kwanza Swali lako ni tata; inawezekanaje mume na mke wafungishwe ndoa??!!, wanaofungishwa ndoa halali huwa ni Mwanaume na mwanamke, baada ya ndoa ndio wanakuwa Mume na mke sasa inakuaje tena Mume na mke wafunge ndoa??!!
 
Wakuu kwema,

Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani?

Sihitaji Hadithi au andiko lisiloonyesha ninachokizungumza moja kwa moja.

Nimesema nukuu itoke kwenye Biblia au Quran si kwamba siheshimu dini zingine hapana, hivi vitabu ndivyo navifahamu.

Asante.

Kuna shida unayo, tafuta usaidizi.
 
Andiko kama halipo watu wanatumia dini kuwa control watu kama kulikuwa na ulazima mungu angesema
Yesu alikuwa anapenda sana kwenda katika harusi kuna harusi moja alikwenda kama ingekuwa lazima viongozi wa dini kuwafungisha watu ndoa ndio mungu akubali basi siku ile Yesu angefungisha lakini alifanya jambo alilopenda mwenyewe walimuuliza mama ake aliwaambia atakalofanya msikilizeni basi akageuza maji kuwa pombe hapa inaonyesha jamaa kwenye mambo ya pombe yupo poa na itakuwa alikunywa tu

Muhamad alimuoa Khadija mwanamke tajiri kama Leo tunasema zali la mental kwa maana muhamad alikuwa kapuku hana hata hela unaambiwa iyo hela ya mahari katoa khadija je huyo aliefungisha ndoa yake alikuwa sheikh gani?

Ukija kuangalia hayo matukio utakuja kugundua hakuna ya haja ya mchungaji au sheikh au padri au kiongozi yoyote wa dini kuwafungisha watu ndio maana Yesu mwenyewe kaenda katika harusi hakufungisha watu ndoa sana sana kageuza maji kuwa pombe na Muhamad kama mwenyewe kiongozi hajafungishwa na sheikh hakuna ulazima wa sheikh kutaka kufungisha watu ndo nyie wakristo na waislam mumepata wapi huo utaratibu ?
Nafikiri mahari ikitolewa, watu wakapika chakula Yao na divai hapo, hiyo tayar ndoa
 
Wakuu kwema,

Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani?

Sihitaji Hadithi au andiko lisiloonyesha ninachokizungumza moja kwa moja.

Nimesema nukuu itoke kwenye Biblia au Quran si kwamba siheshimu dini zingine hapana, hivi vitabu ndivyo navifahamu.

Asante.
Watu walianza kuoana hata kabla ya hivi vitabu vya hekaya kuandikwa. Hivyo, hakuna jipya wala hoja hapa.
 
Wakuu kwema,

Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani?

Sihitaji Hadithi au andiko lisiloonyesha ninachokizungumza moja kwa moja.

Nimesema nukuu itoke kwenye Biblia au Quran si kwamba siheshimu dini zingine hapana, hivi vitabu ndivyo navifahamu.

Asante.
Kwani wewe unaweza kutuambia hili andiko lako kuna mahali limeandikwa kwenye kitabu cha maandiko matakatifu ????
 
Ulikuwa ukishalipa mahari na kukubalika wazazi wa mke wako imeisha ndio maana mariam baada ya kumposwa na yusuph waliondoka wote

Rebeka aliitwa na wazazi wake wakamuuliza unamfaham huyu akasema ndio wakaaondoka na mumewe

Hii kufunga ndoa ni mapokeo ya kidini ila sio utaratibu mbaya. Ila kiapo kile unachokula pale kwa ss wakristo kina gharama kubwa maana maandiko yanasema ukiweka nadhiri lazima uifuate....unapoapa nitakuwa mwaminifu kwake tu......

Nafikiri laana nyingine zinaanzia hapo maana unapa leo kesho upo kwa mchepuko.
 
Labda tu namimi niongezee maswali mawili yanayohusiana na mada hii.

1. Baba wa iman Ibrahim inasemekana alikuwa na wake wawili nikiongozi gani alifungisha hizo ndoa?

2. Jacob mwana wa isaka alikuwa na wake wawili (mtu na dada yake) nikiongozi gani wa dini alifungisha hizo ndoa?

Yangu ni hayo tu wakuu
Tena hapo kwa Yakobo ndio patamu wake wote kaolea nchi ya ugeni ambako hutegemei kuwa na kiongozi wa dini yake.
 
Wakuu kwema,

Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani?

Sihitaji Hadithi au andiko lisiloonyesha ninachokizungumza moja kwa moja.

Nimesema nukuu itoke kwenye Biblia au Quran si kwamba siheshimu dini zingine hapana, hivi vitabu ndivyo navifahamu.

Asante.
Kwanza nakili hakuna andiko linaloagiza viongozi wa dini kufungisha ndoa, sema Mungu anaheshimu mapatano mkisha patana kwamba kwenye jambo fulani utaratibu utakuwa ni huu na huu Mungu nae anaweka signature, so halipo andiko lakini kijamii mmeshakubaliana kwenda kinyume ni dhambi rejea mf wa Anania na Safira.
 
nikuulize swali.....Dini iliyokuwepo kipindi cha Yesu ni ipi
Ili uielewe Biblia ni lazima ujifunze mazingira+utamaduni wa Wayahudi kipindi cha Yesu
Jibu swali acha kuuliza swali juu ya swali
 
Back
Top Bottom