Atheism sio kuamini Hakuna Mungu, ila ni kutoamini kuwa kuna Mungu

wewe ni SCAR, NON JF USERS hawakujui je, hiyo ni fact Kuwa existence yako mystery?.
Dhana ya kuwa kila fact ni lazima kila mtu aijue umeitoa wapi? Na kwanini iwe hivyo na si kinyume chake?
Fact sio lazma kila mtu ajue but uweze kuwa proven by anyone under the same circumstances. Leo hii tunasema maji yakichemka hua mvuke coz kila mtu akichemsha maji hua mvuke. So extraordinary claims needs extraordinary evidence.
 
Anything that doesn't work... solution it was magic. The bible does that all the time.
 
Hiyo nguvu ni akili yako kukuletea mauza mauza na we kushindwa kuelewa kitu real.
 
Kitu kizuri kuhusu ubongo wa binadamu ni kuwa upo very curious kutafuta majibu kuhusu mazingira yake, hii imetusaidia binadamu kuyatawala mazingira kuliko viumbe wote
Lakini kitu kibaya kuhusu huohuo ubongo wa binadamu ni kuwa upo very desperate kupata majibu kuhusu mazingira kiasi kwamba uko tayari kukubali jibu baya kuliko kukaa bila jibu lolote.

Hakuna ajuaye ulimwengu umekujaje,sio Atheist wala sio waumini…Tofauti ni kuwa Atheist wako tayari kukubali kuwa hatujui na tunaendelea kutafuta ukweli ...lakini waumini wameshaseto kwenye jibu lao kuwa ni Mungu bila ya kuwa na evidence yoyote
 


Mungu ni A conscious disciplined eternity being, Yeye sio kiumbe.
 
Whatever the case, but does that 'eternity being' really want or need to be praised and worshipped, and control the lives of all creatures in the system

First of all you have to realise the existence of such "eternity being" the rest things such as being worshipped etc come next.
 
Binafsi naona ilipasa kuwepo na tokeo la Mungu kwa nyakati zetu hizi tunaweza kusema modern world.

Kwa sababu nyakati hizi ndio upeo wa maarifa ya mwanadamu umekua mkubwa kwamba hapokei kitu bila ya kudhihirisha.

Tunapo soma vitabu hivi vya dini haswa hizi tunazo ziita abrahamic religion natumaini hakuna hata mmoja kati ya wale walioandikwa kule waliwahi kumuona Mungu isipokuwa ni kwa ishara za hapa na pale ambapo wangeambiwa waweke ushahidi kwamba wamemuona Mungu na wamezungumza nae wasingeweza.

Waliamini hivyo kwamba Mungu amezungumza na fulani kwenye ndoto au kwenye moto unao waka kichakani kwa sababu ya upeo wao kwa wakati huo.

Kwa ukubwa wa Mungu alio nao asingepaswa recognition au Identity yake ipatikane kwenye imani tuu!

Yeye ndie yupo juu ya maarifa yote, yupo juu ya ujuzi na elimu yote, sasa kujulikana na kuwepo kwake kuwe kwa kiimani zaidi hai make sense .


Badala yake usio ukweli unaenezwa sana kwa kivuli cha imani.

Propaganda nyingi sana kwa kivuli cha imani.

Uzushi na utapeli ni mwingi sana kwa kivuli cha imani.

Imepelekea ukweli kukaa mbali sana , na wanaojaribu kuhoji na kutafuta walao udhibitisho wa uwepo wake wanakemewa na kukaripiwa sana na hata kutengwa na jamii.


Ifike wakati atokee mtu kama musa aseme na Mungu kwamba watu wake wa leo hii tunahitaji kumuona kwa macho ya nyama.
 
Chief kama hii ishu uliiona ya kweli ...
Basi imenifikirisha sana..
Kiuhalisia ulimwengu una vitu vingi vya ajabu ambavyo kwa utashi wetu au maono yetu hatujawahi kuviona
 
Whatever the case, but does that 'eternity being' really want or need to be praised and worshipped, and control the lives of all creatures in the system
Alafu swali ni why yeye awe eternal. Unajuaje hajafa huko
 
Chief kama hii ishu uliiona ya kweli ...
Basi imenifikirisha sana..
Kiuhalisia ulimwengu una vitu vingi vya ajabu ambavyo kwa utashi wetu au maono yetu hatujawahi kuviona
Duh mkuu umemuamini jamaa😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…