SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Ni swali?? Weka swali/statement yako vizuri nikuelewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni swali?? Weka swali/statement yako vizuri nikuelewe.
Fact sio lazma kila mtu ajue but uweze kuwa proven by anyone under the same circumstances. Leo hii tunasema maji yakichemka hua mvuke coz kila mtu akichemsha maji hua mvuke. So extraordinary claims needs extraordinary evidence.wewe ni SCAR, NON JF USERS hawakujui je, hiyo ni fact Kuwa existence yako mystery?.
Dhana ya kuwa kila fact ni lazima kila mtu aijue umeitoa wapi? Na kwanini iwe hivyo na si kinyume chake?
Mtume alimuota akatunga sheria watu wakaamini hence IslamNa kama kile kitabu cha waarabu kilitokea Kwa mungu Kwa hyo tuseme mungu alikua anatengeneza makalatasi huko juu
Anything that doesn't work... solution it was magic. The bible does that all the time.Kwanza unatakiwa ujue nje na ndani ya JF mi sio SCAR
Pili unatafuta equivalent ya stori mbili ambazo hazifanani.
Fact ni uhalisia unaopimika na kuthibitishwa eidha kwa vipimo au logic.
Katika vigezo hivyo hakuna namna yeyote unayoweza kuelezea tukio la watu sita kushuhudia watu wakitembea kwenye mwezi.
Wakati vipo vipimo ambavyo muda wote viko stand by ku observe kila tukio linalofanyika mwezini.
Pili mjengengo wa stori yako umekaa mythical yani namna ulivyouelezea mwezi ni tofauti kabisa na sifa zake ambazo zinajulikana.
Nadhani ndio sababu ukaamua kusema miraculous ulijua lack of better explanations wouldn't make you story to be taken seriously.
So unaamini aliona watu wanacheza mwezini?nakuelewa sana mkuu sema basi tu sijui why jamaa anakuwa mgumu hivyo
Hiyo nguvu ni akili yako kukuletea mauza mauza na we kushindwa kuelewa kitu real.hapana wala hata simjui sema nimefatilia mwanzo hadi mwisho wa majadiliano yenu.
Kwa jinsi nilivyomuelewa jamaa anajaribu kujenga hoja apart from atheist n believers faiths kuna nguvu za kimiujiza that work miraculuous zilizomo ndani na nahisi nje ya ulimwengu wetu.
Hiyo ndio hoja ya let the caged bird sings anayojaribu kueleza hapa kwa jinsi nilivyomuelewa
Hataki kuamini kama ali experience un realistic event
Kitu kizuri kuhusu ubongo wa binadamu ni kuwa upo very curious kutafuta majibu kuhusu mazingira yake, hii imetusaidia binadamu kuyatawala mazingira kuliko viumbe woteKwani unaathirika nini ukiamini uwepo wa Mungu?
Akili ya mwanadamu bado inaendelea kuyajua mambo mengi ambayo hayajadhihiri kwa sasa kwahiyo kuna mambo mengi huwezi kuyapatia majibu kwa sasa, kama ulivyosema hapo juu kwamba miaka 50 iliyopita hapakua na videocall, he miaka 1000 ijayo kutakuwaje??
Wanaoamani Mungu hutumia uumbaji kama hoja kuu ya kuamini Mungu yupo, siwalaumu because after all bila uumbaji tusingekuwepo kubishana hapa kama mungu yupo au la! Na uwepo wake usingekuwa na maana.
Hoja yao ipo hivi:
1. kila kitu kilichopo kina chanzo hakiwezi kutokea from nothing,
2. Hivyo Ulimwengu una chanzo, hiko chanzo lazima kitakuwa nje ya ulimwengu na kitakuwa na uwezo zaidi ya ulimwengu
3. Kwahyo ulimwengu umeumbwa na huyo aliyeuumba tunamwita Mungu
Kuna matatizo kwenye kila statement hapo,. Ngoja tuzichambue
1. Kila kitu kilichopo kina chanzo hakiwezi kutokea from nothing,
Hatuna ushahidi wa hili.
Kwanza tunaishi kwenye sayari ndogo inayozunguka nyota moja kati ya nyota billioni 100 zinazounda galaxy. Ulimwengu unaoonekana tu una galaxy billion 100-200. Kwahyo hapo idadi ya nyota ni kama billioni 100 mara billioni 100 kwa idadi ya chini, na bado kuna ulimwengu ule ambao hatuuoni ambao unaweza kuwa mkubwa kuliko huu tunaouona kwa vifaa vyetu.
Kwahyo hatuwezi kuhitimisha kitu hakiwezekani kwenye huu ulimwengu kwa kutumia reference ya sheria tunazoziona kwenye haka kapocket kadogo ka ulimwengu tunakoishi. Inawezekana huko nyota ya mbali kuna viumbe wameweza kutengeneza something from nothing.
Sisi hatuwezi kuhitimisha chochote itakuwa ni sawa na mgeni kutoka Kigoma afikie kwa shemeji yake Chanika, aitalii nyumba ya shemeji kuanzia sebuleni,uani mpaka chooni halafu aseme ameshaijua Dar nzima na hakuna nyumba ya muundo tofauti na hiyo ya shemeji yake. Hakuna TV kama ya shemeji yake na hakuna gari kama la shemeji yake Dar nzima.
Pili, hata kwenye hiki kipoketi cha ulimwengu tunachoishi hatuna uhakika kuwa tunajua sheria zote za ulimwengu.
Ukimwambia mzee aliyekufa miaka 50 iliyopita kuwa Kuna teknolojia ya kuongea na mtu ana kwa ana sekunde hiyohiyo huku mkisikiana kama mko pamoja(Videocall) Atabisha kuwa hiko kitu hakiwezekani kama tunavyobisha kuwa something hakiwezi kutoka from nothing.
Hivyo hatuna ushahidi wowote wa kuhitimisha kuwa haiwezekani kitu kitokee bila chanzo.
2. Hivyo Ulimwengu una chanzo, hiko chanzo lazima kitakuwa nje ya ulimwengu na kitakuwa na uwezo zaidi ya ulimwengu
Hata kama tukikubali kuwa Ulimwengu una chanzo,bado haithibitishi kuwa hiko chanzo lazima kiwe nje ya ulimwengu au kiwe na uwezo zaidi ya ulimwengu…Maji kwenye glass hayana madhara lakini yakiungana kutengeneza bahari yanaweza kuzamisha meli na kuleta Tsunami.
Pia hiko Chanzo kinaweza kuwa ulimwengu wenyewe,
Hizo sifa unazompa Mungu inawezekana ni sifa za ulimwengu.Yani ikiwa ulimwengu umejitengeneza,upo kila sehemu na unaweza kila kitu.
Maana Mtu ukibisha kwa kusema ulimwengu lazima uwe na chanzo kwasababu kila kitu kina chanzo basi ntakuambia na mungu pia yupo kwenye hiyo “kila kitu kinahitaji chanzo” na ukibadilisha kuwa kila kitu kinahitaji chanzo kasoro Mungu tu basi ntakuuliza nini kinampa Mungu hiyo kasoro?? Kwanini isiwe kila kitu kinahitaji chanzo kasoro ulimwengu wenyewe? Au chanzo kingine kisicho huyo ‘Mungu’?
3. Kwahyo ulimwengu umeumbwa na huyo aliyeuumba tunamwita Mungu
Na hata kama tukikubali ulimwengu umeumbwa bado haitoshi kujua kuwa huyo aliyeumba ni Mungu na wengine huenda mbali hadi kumpa sifa zingine kama i)aliwahi kuwa binadamu akaja kufa duniani, au wengine husema huyo ii)Mungu haelewi lugha tofauti na kiarabu
Haya yote mmejuaje? Je kama hiko chanzo ni kitu kingine ambacho hakipo tena ulimwenguni,yani kiliumba halafu kikaondoka kikauacha ulimwengu ujiendeshe kwa sheria kilizouwekea? Una uthibitisho gani kuwa hiko chanzo cha ulimwengu ndio hiki unachoita Mungu na si kingine??
Kwasababu kusema ulimwengu uliumbwa haitoshi kuwa kama ushahidi wa kuwa aliyeuumba ni Mungu.
Au una ushahidi kuwa lazima kiwe Mungu na especially huyo Mungu wako na sio Mungu wa Zumaridi? Au kitu tofauti na Mungu?? Vipa kama Mungu aliumba Ulimwengu halafu akaondoka akaendelea na mishe zake akawcha ujiendeshe na tukifa ndio imetoka hiyo?? Kwanini iwe ni Mungu wako tu?? Una uthibitisho?
Nachosema Mimi ni kuwa Mungu anaweza kuwepo, ila hatuna ushahidi wa hilo. Na hatuna sababu za kuamini hilo kama unao naomba
Maana ukisema ushahidi ni kitabu chako cha dini kilikuambia hivyo basi hiko hiko kitabu naomba ukiulize haya maswali unipe majibu
Whatever the case, but does that 'eternity being' really want or need to be praised and worshipped, and control the lives of all creatures in the systemMungu ni A conscious disciplined eternity being, Yeye sio kiumbe.
Whatever the case, but does that 'eternity being' really want or need to be praised and worshipped, and control the lives of all creatures in the system
Chief kama hii ishu uliiona ya kweli ...Tumuite Mungu, japo nikiulizwa kwanini awe ni Mungu na si kitu kingine tu nisichokijua, nitakuwa sina jibu.
Hii dunia ni full mysterious, actually hakuna anajua chanzo cha ulimwengu na uhai but kuna Imani ina make logic sense ukisikiliza, sihitaji kuelezea isije semwa ninaihubiri.
Kuna nguvu inaendesha hii dunia na haijali hisia zetu,it acts accordingly na haitafuti waumini wa kuiamini.
Sikumbuki mwaka, coz ni kitambo niliwai ona watu wakitembea kwenye mbalamwezi wakati nimetoka nje kukojoa.
Nilihisi ni wenge BCBG, Nikarudi ndani kumuambia Mama kuwa kuna kitu cha ajabu nje, watu wanatembea kwenye mwezi.. Ilimchukua sekunde kadhaa kuhisi kuwa uenda kuna kitu si cha kawaida nimekiona nje ndiyo maana ninamuamsha ili akakione. akaamuka na Dada zangu wakaamka kwenda kushuhudia nilichokuwa nina kisema!!.
Ni yale majira ya mwezi Unatokeza fully, umbo lote unaliona.. Ni kama vile sinema watu wanatembea kwenye mwezi.
Niliowaita kuona ilo tukio waliogopa sana!! dada yangu ninaemfuta mara 3 akasema " twende kwa mzee wa kanisa, uenda leo ni siku ya mwisho".
Baada ya hapo ile sinema ikakata mwezi ukarudi katika hali yake.
Hadi leo wengine wamezeeka, nikijalibu kuwa kumbushia hiyo ilo tukio kila mmoja ana maoni yake.
Hivi juzi nimekuja kujua kuhusu mradi wa blue beam, uenda tulichokishuhudia ni blue beam ama ni tukio la miujiza tu kama miujiza mingine.. But definitely nimewai ona watu wakitembea kwenye mwezi. mwezi huu huu UnAujua, nimeona bila vifaa vya kitaalamu.
Ulimwengu ni zaidi ya unavyoelezwa na atheists ama believers.
Alafu swali ni why yeye awe eternal. Unajuaje hajafa hukoWhatever the case, but does that 'eternity being' really want or need to be praised and worshipped, and control the lives of all creatures in the system
Whatever you define him, still no proof he exists or if he created the universe