ATM ya kwanza ya maziwa yazinduliwa Moshi Mjini

Hii ni vending machine like any other....

Tatizo ni kwamba wabongo wameshageuka kuwa watu wa kusifia sifia vitu ordinary....

ATM "Automated Teller Machine" ni mashine unayokuruhusu kuulizia taarifa za kifedha, kuweka au kuchukua pesa ya kwako, na sio kufanya malipo ili ikupe kitu...
 
Sina wivu na Mchaga yoyote, binafsi nataman kuhabarishwa...
Je, hii nayo yaitwa "ATM"
Hili neno "MILK ATM" ni Lugha gani imetumikaa...???
 
Automated Teller Machine. We umekremu kwamba atm ni ya pesa tu nini arif? Hakuna neno pesa kwenye atm yani ni mashine inayofanya kazi kwa niaba ya mtu kidigitali
Wachaga mnakwama wapi? Hivi ATM maanaake Nini? Napita tuu lakini mmekuwa wakinga na nyie
 
Automated Teller Machine. We umekremu kwamba atm ni ya pesa tu nini arif? Hakuna neno pesa kwenye atm yani ni mashine inayofanya kazi kwa niaba ya mtu kidigitali
Who is teller by then
 
Ikishakuwa teller machine hapo tayari kuna pesa jombaaa
Automated Teller Machine. We umekremu kwamba atm ni ya pesa tu nini arif? Hakuna neno pesa kwenye atm yani ni mashine inayofanya kazi kwa niaba ya mtu kidigitali
 
Kwa Moshi level izo tulishavuka mkuu
 
Hiyo mashine itawezaje kutofautisha shilingi 50, 100, 200, na 500 za sarafu?
Na je inaweza kutoa chenji kama nimetoa elfu kumi halafu nikanyonya maziwa ya sh 150?
 
Walionunua
Aliyezindua
Hakuna ATM ya Maziwa
Hiyo yatakiwa iwe Milk Dispensing Machine
 

Hiyo ni dispenser. ATM ni Automated Teller Machine (kwa usahihi wake lazima itumike kwenye masuala ya kibenki tu).
 
Kwakuwa wewe ni Gambosh, team ukabila, usiyependa kujifunza,hutakaa ujue maana ya ATM YA MAZIWA


AUTOMATIC TAKE MILK -ATM
Hio si auto milk dispenser, huwezi kuiita ATM which is specifically for banks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…