ATM ya kwanza ya maziwa yazinduliwa Moshi Mjini

Mkuu wewe unaishi wapi wanaotupa takataka ovyo wanatoka sayari gani? wanaokojoa barabarani wanatoka wapi? ujinga hauna mipaka sisi ma software engineer kuna kitu kinaitwa exception handling lazima ufikirie scenario ambazo sio za akwaida sababu akiri za watu ni tofauti kwenyue matumizi ya vitu hata uweke manual.
 
Unachokisema ni sahihi. Ila sio katika extent hiyo ya kuweka sumu sijui uchafu.. Ndio maana nimekwambia kuhusu hayo maeneo ya vyanzo vya maji vinavyokuwa.

Tofauti na visasi, huwezi kuta mtu anakojolea kwenye biashara ya Mtu. Tofautisha kutupa taka hovyo barabarani na kutupa uchafu kwenye biashara ya Mtu.
 
Duuuh hyo kitu nimeikuta inazinduliwa wakati huo napta na ki-bike changu.... Nikasema moyon.... Nakushukuru mungu kwa kuniumba mchagga..... Hahaaaa..... Kwakwel its inspirational stuff kwa wale....... Back laggerds.....
 
Nchini Tanzania wengi wao wanaposikia ATM kitu cha kwanza wanachoweza kufikiri huenda ikawa ni sehemu ya kutolea fedha,
Lakini huko Kaskazini mwa Tanzania katika mkoa wa Kilimanjaro ipo ATM ya kwanza ya maziwa ambayo imekuwa kivutio kwa wakazi wa mkoa huo.

Your browser is not able to display this video.
 
Mbona Dar zipo ATM za soda na za kondomu , cha ajabu ni nini! Labda tu kama ni maziwa ya mwanamke.
 
Hii habari ilishapita humu miezi kadhaa iliyopita, by the way ahsante kwa kushare.
 
Kwani ni eneo gani Moshi kuna tatizo la maji mkuu?
Mbona watu walishapita huko.
 
Kwani ni eneo gani Moshi kuna tatizo la maji mkuu?
Mbona watu walishapita huko.

na hio ni first page tu ya google nimesearch.., kumbuka pia kuna tofauti kati ya maji na maji safi na salama.., kuna watu wanakaa mita 70 toka ziwani ila its not necessarily hayo maji ni safi na salama
 
Wachaga sio watu wa mchezo mchezo ni ma genius
 
Kunywa maziwa kwa afya
 
Ni hatua nzuri sana.Ila hizi teknoloji zinamfanya binadamu awe mzembe kwa kushindwa kushughulisha miili yetu.

Tunakenua tu lakini life span yetu inapungua sana kwa kushadidia miteremko.

Watu watembee kuuza na kununua maziwa kushughulisha miili.

Ndio maana siku hizi vijana misharobaro inashindwa kutikisa nyavu zaidi ya goli 2,mipaja na mitako yao kama wacheza sumo.

Sipotoshi,tusiotoshane.Hahahaha!!!
 
Hakuna kitu Cha ajabu niliwahi tembelea Mbeya eneo linaitwa ubaruku wilaya ya mbarali 2016 niliikuta ATM ya maji safi,sema hiyo imepewa promo tu hakuna jipya.
 
Hakuna kitu Cha ajabu niliwahi tembelea Mbeya eneo linaitwa ubaruku wilaya ya mbarali 2016 niliikuta ATM ya maji safi,sema hiyo imepewa promo tu hakuna jipya.
Ubaruku kule kwa waburushi? Hii ya kwetu Moshi Ni ya kipekee haipo Tanzania nzima karibu kilimanjaro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…