Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Hahhaha....pengo kwakweli kalidhalilisha kanisa katoliki na maaskofu wenzake kwa kukengeuka na kuwageuka wenzake...ila mtumishi wa mungu gwajima angapunguza jazba kidogo!!!

Ile siyo jazba ni moja ya njia za kuwakilisha ujumbe
 
Naunga mkono hoja zote gwajima alizoongea.

Nadhani pengo asipotubu na kutengua kauli, atakufa ghafla.
 

It seemz analikubal Tamko ila sasa anaona noma watawala atawaangaliaje?
 
This is too much..


Gwajima! Ni mtu hatari sana kwa kauli zake anachanganya madawa, kama angekuwa ni mtu mwenye busara angetoa mtazamo wake na angeheshimimu mawazo ya Pengo kwa kuwa alitoa msimamo wake kama mkuu wa Kanisa Katoliki, hivi jamani busara ya huyu Gwajima iko wapi, tuipime kwa kijiko cha sukari? ni kiongozi wa kiroho au? Sielewi nisaidieni maneno aliyoyatoa ni ya kulaaniwa na kupingwa na kila mtu anayeheshimu uhuru wa mawazo bila kuvunja sheria kwa kutoa maneno ya kejeji,vitisho,au matusi dhidi ya Pengo.


Namshangaa huyu Gwajima anajitokeza hadharani na kumtusi Pengo, hivi ana usafi gani katika hiyo huduma yake,tusimwage mchele kwenye kuku wengi.Nikiwa mmoja wa waumini natangaza rasmi kujitoa kwenye Kanisa la Gwajima. simuungi mkono wala sishabikii kauli zake kwa kuwa amekengeuka.
 

Mkuu ukisikiliza hiyo clip unaona kuna vitisho:what: unajua matusi wewe? kumbe ulikua shabiki wake yeye amkua mchezo wa ushabiki? umeamkia wapi wewe huyu pengo unaona ni mzima jinsi alivyojitokeza kuwapi ga maaskofu wenzake kwenye media😎 yeye ni nani ananguvu gani ya kudharau maaskofu wakuu waliokaa pamoja naona huna akili timamu ndugu, maana hata kanisani unaenda kwa ushabiki😀:thumbdown:
 
Kikweli ni kuwa giza kimetanda mbele yetu bila kujali itikadi za siasa kila mtu aombe anavyoweza

Acha kuwatisha watanzania,wana uelewa wa kutosha kuhusu nini wanapaswa kufanya,kwa namna gani na wapi,na wakati gani? au wewe si mtanzania? nadhani unahitaji kumwona Daktari wa akili na macho CCBRT au kwingineko. unahitaji ushauri wa wanasaikolojia ili wakuponye na maradhi ya hofu.

Hivi ww ni mzalendo kwa nchi yako? napata hofu coz unatoa hoja kama mtu ambaye yuko nchi jirani na si mtanzania,huna uchungu na nchi yako,nakushauri tumia muda wako kumwona Tabibu.atakusaidia.
 

Nawe ni wale wale tu. Hayo matusi na kejeli hujasikia? Ndiyo maana umevaa miwani kama ya mbao Nilifikiri unakuja na busara kumbe unakuja na matope! Sasa wewe unajilinganisha na Pengo, Pengo ni mzima, anaakili timamu na msomi anafahamu mambo mengi. Utamlinganisha na huyo kibaraka Gwajima? Acha ushamba wako. Jitambue, jenga nchi yako acha maneno yenye kukarahisha Watanzania wanaoheshimu. Kama unayo hata chembe ya busara chukua audio ya Pengo na Gwajima then linganisha uone nani anabusara. Koma mwache Pengo na kanisa Katoliki.
 

kibaya zaid ni kwamba viongozi wa dini wanakosea ama niseme wamekosea.

kazi yao ni kufundisha watu juu ya dini ili wawe na hofu ya Mungu watende yaliyo mema wapate kuurithi uzima wa milele ama pepo ya Mungu.

sasa ukikuta viongozi wa kanisa ama msikiti wanaaza kujibizana juu ya kauli zao kisiasa hapo pana shidaa tena kubwa sanaaaa.
 
Huyu Gwajima amefika mbali...Kwann kumporomoshea Pengo matusi yote hayo angali Pengo hajatoa tusi lolote kwa mtu yoyote..??
 
Ukitumia akili yako vyema kutafakari, utaona jinsi gani bwana Gwajima alivyokosa busara.......Kitendo cha kutoa lugha za kihuni na za matusi mbele umati wa watu tena kwenye mazabahu anayotuaminisha kuwa yamezungukwa na roho mtakatifu, inaonyesha kuwa ni jinsi gani msamiati wa busara ulivyompitia mbali......kwa mtu mwenye akili timamu na ubongo wenye afya lazima utapata tabu kugundua kosa alililofanya PENGO hadi kupelekea kushushiwa matusi makubwa kiasi hicho......pamoja na kuwa bwana Pengo ni kiongozi mkubwa wa kanisa lakini vile vile bwana Pengo ni mwanadamu kama alivyo mimi au wewe ana haki na uhuru wa kutoa maoni yake na huwa anakosea kama walivyo wanadamu wengine...kitendo cha kuwa kiongozi wa kanisa akimfanyi kuwa malaika au mtakatifu bado anabakim kuwa mwanadamu kama wanadamu wengine hata kama pengo alikuwa amekosea basi si kuna taratibu zake za kumueka sawa na sio kumtukana na kumdhalilisha kiasi kile tena mbele ya watu ambao wengine ni wajukuu zake kama sio wanae....Pengo amehubiri uhuru watu kutoa maoni yao bila ya kupangiwa na kuingiliwa.....Pengo amezungumzia uhuru wa watu kufanya maamuzi yao bila ya kuingiliwa....naamini kabisa waumini wa imani aliyotaja bwana Pengo ni watu wazima na wengi wao wana ufahamu mkubwa kwenye masuala mbali mbali.....wana uwezo wa kuisoma katiba pendekezi na kisha kuifanyia mchanganuo kisha kufanya maamuzi kuwa inawafaa au haiwafai kila mmoja kwa utashi wake.....kitendo cha kumfananisha Pengo na mpuuzi kama walivyo wakulima na kumtaka bwana PENGO aachie ngazi na kurudi kulima kwa maana ndio kazi inayowafaa watu wapuuzi kama yeye....huko ni kuwakosea heshima wakulima ambao kwa nafaka zao ndio wamemuwezesha yeye kusimama hapo mazabahuni na kumwaga mitusi.......Naweza kusema kuwa ndugu ametumia kauli hiyo ya Pengo kujiongezea umaarufu na kuvuta waumini wapya na nashawishika kuamini kuwa pengine ana ajenda yake yake ya siri kuhusiana na bwana Pengo.....na hata wale waumini wake waliokuwa wakimshangilia wakati ana mwaga matusi sijui walikuwa wanatumia kiungo gani cha mwili kufikiria na kuhalalisha matusi yale hadi kuona kuwa ni mambo ya kushangiliwa na kupigiwa vigere gere.....mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya mambo aliyoyafanya Gwajima tena mbele ya mazabahu huku watu wakimshangili.....otherwise waumini wake huwa wanaacha vichwa vyao huko majumbani kwao na kufika hapo na viwili wili tu..........
 
Pengo ni takataka kabisa na ni hafai katika jamii haiwezekani kukiuka na kwenda kinyume na maaskofu wenzake,yani namfananisha na kopo la chooni,hafai kabisa
Kwa yeye kukubali ina maanisha wakatoriki wote ni wamekubali mahaka ya kadhi
 

Mara ya mwisho kupima magonjwa ya akili ni lini..?
 


mnafiki mkubwa wewe sio muumini na hujui maana ya kiongozi wa dini kuitwa baba wa wa kiroho..
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=PENGO]#PENGO [/URL] ni msaliti kama yuda na ni msaliti kama zitto kabwe.
PUMBAVU SANA WEWE. SHENZI MKUBWA.

#PENGO AMEDHSRIRISHA SIO MAASKOFU WENZAKE ILA KANISA NA WAKRISTO WA TANZANIA.
 
Mshale umeshatumwa hewani.. Bahati mbaya umeshapenya kati ya maungo ya Mtu...! Mie naamini Mungu ana Kinywa..!
 
Na swala hili wameluchukulia kwa uzito wakidhani Cardinal Pengo ndio Mkuu wa kanisa Katoliki Tanzania,na kauli yake ndio ya Kanisa..kumbe si kweli!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…