Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Labda nimesahau kwa hoja ya kura, ni wapi viongozi wa dini hupigiwa kura na waumini wao? Cku zote maamuzi yao cc huwa tunaunga mkono tu!
 
Upumbavu hauna jina jingine zaidi ya kuitwa ni upumbavu, alichokifanya pengo ni upumbavu hivyo lazima tuukate kwa lugha zote bila kulemba.

Asante sana Nabii wa kweli na mpaka mafuta Gwajma.
Hili swali sijui nilikuuliza wewe..?

Anyway ngoja nikuulize..

Mara ya mwisho kupima magonjwa ya akili ni lini..?
 

Kwa hiyo umefurahi Pengo kuambiwa ana vishwa pampasi? Hivi Mungu wenu ndio huwa anaelekeza hivi kuwa mtu akikukwaza mdhalilishe mtukane! Hivi hao waumini wa Ngwajima hawaoni kama mchugaji wao dish limeyumba?
 

sasa wewe WAPI KATIKA BIBLE PAMEAGIZA TUMUOMBE MUNGU KWA KUPITIA MARIA. Bible imeainisha wazi YESU alivyosema yeye ni njia na uzima. sasa unataka kupitisha maombi yako kwa BIKIRA( Maria!) au Canon law ndio inaagiza hivyo. FUNGUKA
 
hivi gwajima kwa upeo wake hakuwa miongoni mwa wale wachungaji walioenda dodoma kwa lowasa.
 

Pengo sio mkuu wa kanisa katoliki tz
 
gwajima na viongozi wote wa dini wanaoshabikia masuala ya siasa kwenye membari au madhabau ni watu hatari sana..

politics + religon= fueled fire
 
Wenye tabia kama ya huyu jamaa wamevuruga kanisa kabisa siku hizi, haya nayo wanaita mahubiri... Ndo maana siku hizi ni bora kudodje tu church, utakua a better person kuliko kwenda kujazwa ujinga huu, mahubiri yamegeuka siasa, ovyo sana huyu jamaa... Angefanya hayo kwenye kampeni sio anahubiri ujinga huu, Shida zake na pengo zinahusiana nini na mahubiri ya Mungu!

Honestly wajinga kama huyu wanapata wapi uongozi wa nchi hii? Bongo kazi bado ipo sana, kuchomoka sio leo aisee, bado rate ya washamba ni zaidi ya 90% kubwa mno...
 

Swadakta umenena vema
 
Teh Teh hii thread ina vichekesho sana..kwa sababu ya siasa leo hii wanao jiita wakristo wana bariki Pengo kutukanwa matusi yale na anaye jiita mchungaji mfufuaji..
Lakini kuna siku niliona hapa thread kuna mchungaji alisema kuwa wasio kwenda kuswali ni mafala..watu wali laumu sana na kusema mchungaji yule hana hekima lakini leo Mhuni mwingine kama yule ana mtukana mwenzie wana mshangilia...
 
Teh Teh.
Kwa hiyo una kubaliana na mhuni Ngwajima kumwambia pengo anavishwa pampasi? Kwa hiyo Mungu wenu huwa anawaelekeza mkitofaitiana basi ni kuporomosheana matusi?

Huwezi kukubari azimio kikaoni mkalipitisha harafu baadae unalikanusha. ni sawa na mtoto anayevishwa pampas aweza fanya hivyo. Wewe ulitaka aweke neno gani ili ujumbe bila chenga ufike
 
sasa wewe WAPI KATIKA BIBLE PAMEAGIZA TUMUOMBE MUNGU KWA KUPITIA MARIA. Bible imeainisha wazi YESU alivyosema yeye ni njia na uzima. sasa unataka kupitisha maombi yako kwa BIKIRA( Maria!) au Canon law ndio inaagiza hivyo. FUNGUKA

Kama si mkatoliki haikuhusu mbona nyie nnaandamana kwenda kwa matapeli na wauza unga wawaonbee na hatusemi?
 
hajaikumbusha serikali kuacha kuwaambia watu wapige kura ya ndio? pengo angeitaka serikali iwashawishi watu wapige kura bila kuwataka wapige NDIO AU HAPANA, watu wajichagulie wenyewe

Aikumbushe serikali?does it make sense?serikali ni nani?Pengo amesema watu watachagua.....ndio maana halisi ya kupiga kura.Kura maana yake mtu achague na sio kumlazimisha mtu utakacho.

Kwa mwenye uelewa ameelewa.....Pengo kuwaambia watu wakatae ni kutengeneza tabaka.
 

Akili za kushikiwa mbaya sana, yani Pengo kusema wakristo wana akili timamu na wanajua nini cha kufanya waachwe waamue wenyewe kura ya kupiga ni kosa. Tatizo wengi wanakurupuka tu kushabikia bila kusoma alichosema Pengo ni kipi hasa
 
Teh Teh kumbe kutukanana ndio utumishi?

wee Hamis, mwache Gwajima...Mungu wake ndio atamuhukumu...halafu mbona umeishupalia hii topic km sio kutaka kuhakikisha mchungaji wa watu anazama? au unalipwa na Mbasha?
 

sasa mbona serikali inaelekeza watu wapige kura ya ndio? kwanin wengne iwe nongwa kuelekeza watu wapige kura ya HAPANA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…