Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Teh Teh.
Kwa hiyo una kubaliana na mhuni Ngwajima kumwambia pengo anavishwa pampasi? Kwa hiyo Mungu wenu huwa anawaelekeza mkitofaitiana basi ni kuporomosheana matusi?

Najaribu kufikiria lakini naona tatizo huenda si hili bali lipo na hatulijui.Huwezi kuwa na huruma na waumini wakati unawanyonya.

Gwajima aendelee kucheza na Mbasha basi.
 
sasa mbona serikali inaelekeza watu wapige kura ya ndio? kwanin wengne iwe nongwa kuelekeza watu wapige kura ya HAPANA!

Kwa wataalam wa siasa wanaelewa katiba ni chombo cha kuwalinda watawala japo watatoa definition nyingi na nzuri hivyo lazima wakwambie piga kura ya ndiyo sasa anachosema Pengo watu watumie akili zao kuamua
 
Kwa hiyo kwa mfano wanaandika biblia nyingine kwa ajili ya wakristo na yy ataanza kuandika ya kwake tena ikiwa hakuikubali ya wenzake wengi na aitumie kwa wakristo hawahawa tena.

angesubir astaafu kwanza uaskofu ndo atoe maoni yake kama waumini wengne!
 
Kama si mkatoliki haikuhusu mbona nyie nnaandamana kwenda kwa matapeli na wauza unga wawaonbee na hatusemi?

Hujajibu swali. WAPI KATKA BIBLE PAMEELEKEZA TUPITISHE MAOMBI YETU KWA BIKIRA MTAKATIFU??
 
angesubir astaafu kwanza uaskofu ndo atoe maoni yake kama waumini wengne!

Kuna umuhimu gani wa kusubiri astaafu ndo atoe maoni yake wakati mchakato wa katiba umeshapita? Hata watoto wadogo wangemshangaa alikuwa wapi siku zote
 

Ngwajima yuko sawa.
 

Mpwa ukishangaa ya Musa........ufalme wa mungu umbali sana......waumini nao wanashangilia......Huyo Yesu wanayemwamini alikuwa na uwezo sana wakufanya chochote wakati wanamkamata kwenda kumsulubisha lakini hakutoa tusi hata mmoja sasa huyu mchungaji ambaye ni nabii na mtume anafanya hayo akiwa kama mfuasi wa huyo Yesu anayemhubiri, hata kama Askofu Pengo amekosea kiasi gani je hiyo ndio ilikuwa njia ya kumsahihisha........
 

You are very right ....Maaskofu wote .. Catholics wana Phd Za Sheria ..theology ,History ya Kanisa ,Bible etc ..hadi miaka 15 Baada ya KUMALIZA form six Ndio wapate upadri ....Sasa hata uwezo wa kumtazama mambo ni tofauti ....
Pengo hakupingana na Kauli ya Maaskofu ..ila yeye alilisisitiza kuwa Pamoja na haki ya kanisa kuelimisha ...Siku ya Kupiga kura kila mmoja apige kwa Uhuru wake ...
Sasa Huyu Gwajima anataka kuwapangia hadi Aina ya kura ya kupiga ...Kama vile wao ni watoto ......,Pengo ni kiongozi wa kuheshimika Sana nchini ....ambaye Kauli yake imesaidia kuweka mambo sawa ......sio halali kabisa kutikanwaa hivi ...hata Kama angekuwa ni Mzee tu ameongea na si pengo basi hata uheshimu umri wake ...
 

Yaani Blaki Womani kila nikifikiria hayo matusi sielewi hiyo kazi anayoifanya ni kwa mamlaka ya nani!!!
 
Last edited by a moderator:

Kabisa Yesu alikua na uwezo wa kufanya yasitimie matendo ya watesi wake ...akawacha ili maandiko yakapate kutumia ....na pale alipokua anakata roho Tazama tetemeko Kuu likaja na radi ,,..wakasema Hakika huyu alikua mwana wa Mungu ....
 
Najaribu kufikiria lakini naona tatizo huenda si hili bali lipo na hatulijui.Huwezi kuwa na huruma na waumini wakati unawanyonya.

Gwajima aendelee kucheza na Mbasha basi.

Ukitaka kujua Kama ile ni purely biashara ..na mapesa yote ya sadaka hajengi Hekalu na Badala yake kutwa kuvamia Mapagale na viwanja Vya wazi ili afanye Ndio kanisa ,,..pesa anapeleka wapi ..ufahari tu !!!!!!! Na pale Sasa National Housing wanajenga ....ahame
 
Maandiko hayaruhusu......ya kaisari na apewe kaisari.

Hujatendea haki andiko hili. UKWELI wa Kaisari apewe Kaisari na Ukweli kwa Jamii na uwafikie. Pia dini inafanya kazi matika mazingira ya siasa. uwezi kutenganisha zaidi ya kuwaambia wahusika wasijichanganye kuvuka mipaka. waathirika wa siasa ni waumini wa dini. Viongozi wao yawapaza kuhakikisha siasa haivuki mipaka
 
Gwajima ni jembe sana, hakika Huyu ndiye nabii wa kizazi hiki, enyi watanzania tumsikilize na kumuheshimu mpakwa mafuta wa Bwana, safari hii nikienda dar lazima nipite kusali kanisani kwake sabau naona ndipo kuna maneno matukufu yenye uzima.

Na ndo alikuwa analenga watu kama wewe ili muende mkaongeze sadaka. Anajua kucheza na mood za wapuuzi huyu baba nampa hongera.
 
Tatizo la Imani za kikristo zimezaa watu lelemama sana. Yaani jambo dogo likisemwa linapokelewa na akili tepetepe ambazo hazithubutu kusimama na kuhesabiwa!!

Mwanaume kasimama na kumwambia mwanaume mwingine kwamba hafai - waliosikia wametepetaaaaaaa!!!!!!!!!

Pili, kutofautiana mawazo au dhamira, mitizamo ni suala la kawaida. Ningefurahi kama hawa wazee wangekutana mahali watiane vibao au washikane mashati!

Kwa vyovyote vile - nini cha ajabu!
 
Huwezi kukubari azimio kikaoni mkalipitisha harafu baadae unalikanusha. ni sawa na mtoto anayevishwa pampas aweza fanya hivyo. Wewe ulitaka aweke neno gani ili ujumbe bila chenga ufike

Baada ya Pengo kutoa comment yake ....umseisikia askofu yeyote wa kikatoliki ,Anglikan na makanisa yenye ...succession plan ijayoeleweka wakijiiunua kumjibu ??. Ina maana wao hawakusoma ....??
Yeye KIMSINGI alikubali aandiko ...na akasema alikuwa Vatican ..kikao na Pope na cardinals ...na akakubali isomwe ...ila aliweka na comment zake ...Juu ya kuheshimu Uhuru wa kura kuwa ni uamuzi wa mtu ....,hata Mungu haingilii uamuzi wako ..Binafsi ...iweke mwanadamu aingilie ...kazi ya dini ni kuhubiri habari njema ..lakini Mbona dhambi haziishi ...ni kwa Ajili sisi ni Wanadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…