Na kwa huyu askofu Pengo kosa lake ni kupingana na wenzake japokua alisema kwenye kikao hicho yeye hakuwepo kama mlimsikiliza vizuri, kwahio huo ndio ungekua mchango na maoni yake, na kwa uelewa wangu mdogo namuona yuko sawa kwani kla mtu anaongozwa na dhanmira yake hauwezi kumpendekezea mtu chakufanya tena akiwa kwenye chumba cha siri,nadhani wote tulimsikia kama mnasema kaongea vibaya ni mihemuko yenu tu ya kisisa na uchama na si vinginevyo. Askofu yupo sawa ila maoni yake asingeyasema tena kwani maazimio yalishapita angekaa kimya tu kwani ukimya ni busara kuu kuliko zote lakini ukweli usiopingika ni kura ya hapana.
Huyu mchungaji ndio amekosea pengine kulikowote kwani maandiko matakatifu yanatutaka kuwa naupendo kwa watu wote na tukoseanapo tuonyane kwa saburi, sasa hio ndio saburi? Nadhani analeta hisia zake kwa mgongo wa injili, baba mchungaji mimi ni mdogo sana tena sana kwa habari ya injili, nijuavyo mtu kama yeye kila akiongeacho kwa waamini kina mwongozo wa ROHO kwa hapo hakika si ROHO ni hisia