Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Pengo alistahili kubabuliwa tena Gwajima amemstahi sana!! Mnafiki anaambiwa mnafiki hali kadhalika mpuuzi!
Hatuwezi kulea maradhi ya wanafiki eti tumwambie pengo chumbani kakosea!
Anababuliwa hadharani kama alivyochemka hadharani!

Sure mkuu!!!
 
Ilani ya uchaguzi iliyotoka na kadinal akakaa kimya alikuwa na maana gani!? Chaguo la la Mungu..... kimya... why?? Christian politics at work!

we vp wewe? kanisa lina utaratibu wa kutoa mafunzo kwa waumini wake kila chaguzi, we unadhani wanaropoka ropoka tu kama kina gwajima, Pengo ametumia busara na amejua mpasuko ambao ungetokea kama uhuru wa kuchagua ungeingiliwa.
 

Natamani sana ungejua jinsi kanisa katoliki linavyoperate, eti kaelekezwa na pinda WTF? haha. Haujui ata ukiongeacho.
 
OK kwa tafsiri yako hiyo utajisikiaje nikikuita Mpumbavu kwa kuwa kuna vitu vingine hapa duniani huvijui?

Ukiniita mpumbavu kwavitu nisivyovijua si vibaya mpaka nitakapovijua na kuwa mwelewa/mwerevu kwayo.
 
Hapo kwa Malasusa nadhani unachokoza nyuki.....huwezi kumuweka kundi moja na Gwajima.

Nyuki gani? unadhani kuna tofauti? Lutheran ni zao la luther na luther na gwajima wote wamejifungulia makanisa yao na wamejitafsiria bibilia wote ni uzao wa uasi sema mmoja kaanza zamani, eti nyuki, walete..very small church my friend
 
Nina clip ya kardinal nashindwa kui upload kwa simu. Ameongea vizuri na kiongozi anaetambua uzito wa jambo lenyewe hasa kipindi hiki katika Taifa letu. Inatosha kufahamu kwamba Gwajima kajidhalilisha sana katika jamii.
Sikupata muda wa kuisikiliza Clip ya Pengo, lakini moja kwa moja niliponda sana mahubiri ya Gwajima, Ni mahubiri yaliyokosa staha.
 

Unafiki gani sasa? free will haiingiliwi wewe , Pengo ameongea at the right time to the right people. Kwanza who give a shit kuhusu mawazo ya gwajima na vijiaskofu uchwara koko hewa? busara na hekima inajulikana sehemu ilipo na sauti ya ukristo ni sauti ya katoliki tuu. Pengo ajamsaliti mtu yeyote ,Pengo kasawazisha mambo. maana weu walitaka kuleta udini kwenye mambo ya taifa kwa kukurupuka kurupuka tu.
 

dah! na wewe ni mpuuzi na mjinga kweli. huo ndio upeo wako wa kuelewa mambo? hujui kuwa gwajima aliendeshwa na mihemko kumwongelea pengo? anamtukana pengo kwavkuwa anajua pengo hana dola? nawe fikiri kwa mapana na si kuwa mpumbavu kama gwajima.


nb: nami nimetumia kugha ya gwajima kama ni sahihi kwako
 
Kinauche
Ufahamu wako we we ndiyo uko chini ya mstari kama kayukanwa Pengo thamani ya hao unaowaita viongozi wa upinzani ninini?
 
Mleta Uzi umeongea pointi za maana Sana....hongera.

Watanzania wenye akili na kuona mbali tupo wachache sana,pengo ni mshenz tena kibaraka mkubwa wa shetani ccm,na akifa ataenda motoni,ameongea vizuri nini? Anaipigia ndogondogo katiba shetani ya ccm halafu unamsifu ujinga,mbona hakukemea kuchakachuliwa kwa katiba iliyopendekezwa na wananchi?Mbona hakukemea kupigwa kwa jaji warioba na aliyempiga akapewa ukuu wa wilaya,pengo ni mnafiki,hayawani mchumia tumbo,mbona hakuikemea serikali kuwanyenyekea waislamu wapate mahakama ya kadhi kupitia katiba wakati serikali haina dini? Pengo ni wa kupigwa kabisa na siyo kutukanwa,jibu ni moja,hapana kwa katiba ya ccm.
 

Kwenye bold naoba nirudie tena Pengo hajatukanwa kaambiwa ukweli mtupu.

Ndiyo hakuwepo Arusha lakini kakili alipokea waraka/makubaliano ya maaskofu wenzake na akayakubali mbele yao, sasa kitendo cha kuja huku nje na kutangaza kupinga makubaliano hayo maana yake ni nini kama siyo UNAFIKI??

Alafu kupinga katiba pendekezwa kunaletaje machafuko ya kidini hapa??? Mbona viongozi wa serikali wanataka katiba ipigiwe kura ya ndiyo je wao hawachochei machafuko ila maaskofu tu wakipinga ndiyo nongwa??

Pengo hajatukanwa ila kaambiwa ukweli mtupu na askofu mwenzake.
 

Yaani nyie mnaoabudu vinyago na yule mke wa Yusufu (Mariam) ndo muwe sauti ya ukristo!!???
Nyie msioweza hata kukemea kajini kadogo kamaimua nyie ndo muwe kabisa sauti ya ukristo!!???
Nyie kabisa nyie????
Kwa lipi hasa muwe sauti ya ukristo??? Kwa idadi ya mahekalu makubwa yaliyojazwa sanamu na vinyago!!??

YESU KRISTO NA AKUKEMEE.
 
Nyuki gani? unadhani kuna tofauti? Lutheran ni zao la luther na luther na gwajima wote wamejifungulia makanisa yao na wamejitafsiria bibilia wote ni uzao wa uasi sema mmoja kaanza zamani, eti nyuki, walete..very small church my friend

Acha upuuzi.....agenda iliyopo mezani si hiyo unayotaka kuileta hapa.Fungua thread yako pembeni tukaongelee huko habari za catholic vs KKKT.Malasusa kamtukana pengo?
 
lkn naomba kuulza mjinga au mpumav ni yupi? kma mtu akifanya vitu vya kijinga au kipumbavu c automatic anakua au mpk kamati ipitishe hilo jina?
 
Hakuwepo kwenye Vikao Hivyo... hii inadhihirisha Umekurupuka Tu kucomment bila Kusikiliza Audio ya Pengoo...

Acheni Mihemko muwe mnafuatilia hata Alichoongea.. Si mtu anaanzisha mada Tu unakomment
sijakurukupa mkuu usijifanye ww n mkatoliki sana zaid ya wengine humu,hoja hapa n pengo hasa ck za hv karibun hana nguvu na ushawishi ktk TEC hana jipya, fatilia kwa umakini hata ktk matukio muhim ya kikanisa hahudhurii na kutokudhuria kwake hakuna madhara yoyote n wa kawaida tu km maaskofu wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…