Watanzania wenye akili na kuona mbali tupo wachache sana,pengo ni mshenz tena kibaraka mkubwa wa shetani ccm,na akifa ataenda motoni,ameongea vizuri nini? Anaipigia ndogondogo katiba shetani ya ccm halafu unamsifu ujinga,mbona hakukemea kuchakachuliwa kwa katiba iliyopendekezwa na wananchi?Mbona hakukemea kupigwa kwa jaji warioba na aliyempiga akapewa ukuu wa wilaya,pengo ni mnafiki,hayawani mchumia tumbo,mbona hakuikemea serikali kuwanyenyekea waislamu wapate mahakama ya kadhi kupitia katiba wakati serikali haina dini? Pengo ni wa kupigwa kabisa na siyo kutukanwa,jibu ni moja,hapana kwa katiba ya ccm.
we vp wewe? kanisa lina utaratibu wa kutoa mafunzo kwa waumini wake kila chaguzi, we unadhani wanaropoka ropoka tu kama kina gwajima, Pengo ametumia busara na amejua mpasuko ambao ungetokea kama uhuru wa kuchagua ungeingiliwa.
sijakurukupa mkuu usijifanye ww n mkatoliki sana zaid ya wengine humu,hoja hapa n pengo hasa ck za hv karibun hana nguvu na ushawishi ktk TEC hana jipya, fatilia kwa umakini hata ktk matukio muhim ya kikanisa hahudhurii na kutokudhuria kwake hakuna madhara yoyote n wa kawaida tu km maaskofu wengine
Bila Pengo kuruhusu Hilo Tamko kwenda Katika Majimbo Lisingeenda... Tatizo Hamjamuelewa Pengo
Nimekuuliza Umesikiliza Audio????...... Hebu isikilize Ndo utajua why walipeleka Barua Kwake wakapewe Ruhusa.....
Usilete Siasa
Kwa hiyo kanisa kutoa mafunzo ya kupiga kura ya hapana nini tatizo mpaka kadinali aingilie kati!! Tumesoma na tumefundishwa katika vitabu vyote kuwa upo huru kuchagua jema au baya!! Kuishi au kufa,Hii ni kidini zaidi lakini kweli katiba imeacha misingi mizuri ya uajibikaji harafu unashauri watu waamue wenyewe wakati unaona haifai!!. Something is wrong somewhere!!!...Tusubiri tutaona!!!
Kwa hiyo mwisho wa siku tukiambiwa na TEC kwamba lazima tumchague fulani kua Rais tukubali kwani sisi ni Punda
kwenye ishu ya matusi ya gwajima nime'prove kwamba watu wengi wanaendeshwa na mihemko kuliko critical analysis..
Ukimsikiliza Pengo utashangaa mihemko iliyoko humu ya kumpamba Gwajima.
Yesu aliwahi mwita mfalme wa nyakati zake mbweha. Maaskofu wa Catholic hawawezi kumrudi pengo maana ni mwajiri wao. Hivo Mungu huinua aliye juu yake kumwadibisha
Awali ulikua hujauliza swali, jibu ni kwamba alichokisema BABA MTUKUFU DOKTA NABII GWAJIMA kuhusu Kardinali Pengo ni kweli kabisa.
Uliza swali lingine mdogo wangu.
Ilitakiwa vijana wa kikatolic mkamtie dispiline,nashangaa mpaka sasa kimya.