gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Walikufa wakiwa wapi?Nikikumbuka vifo vya vijana wetu wawili kupitia wale magaidi, mimi nasimama na Israel kukomesha hao Iran ambao ni wafadhili wakuu wa ugaidi duniani.
Safari kutakua na kuingiana maungoni, houthi, hizbullah huenda wakaingia israelBila kuiona roho ya huyo babu inatoka mwili Israel hakutopoa yaani wapo tayari kwa lolote time will teri
Ayatollah mbona mzee sana!!Bila kuiona roho ya huyo babu inatoka mwili Israel hakutopoa yaani wapo tayari kwa lolote time will teri
Maana tumepoa,ligi imeisha,tupo tupo tuwalianzishe tu
πππMaana tumepoa,ligi imeisha,tupo tupo tu
Kipindi unaropoka hivyo kumbuka chanzo ni Israel hao hao walianzisha vurugu.Nikikumbuka vifo vya vijana wetu wawili kupitia wale magaidi, mimi nasimama na Israel kukomesha hao Iran ambao ni wafadhili wakuu wa ugaidi duniani.
Israel anauponza,kama akijaribu safari hii kuingia vitani na Iran ataisha mazima wallahi mtaona.Safari kutakua na kuingiana maungoni, houthi, hizbullah huenda wakaingia israel
ππππ€£πππππYahudi kihistoria ni manipulative! Sio kwa bahati mbaya jamii nyingi zilishindwa kuishi nao na kuamua kujaribu kuwamaliza!
Usiamini neno lolote Yahudi! Ni hayawani wasuokuwa na daraja!
Hao US wanaotumikishwa sasa hivi kama punda siku itafika akili itawaingia!
wacha kuhadaika oct7 ulikuwa mchongo wa wayahudi wenyewe,unaenda kukaa nchi ya mashetani,waasherati lazma ufe kindeziNikikumbuka vifo vya vijana wetu wawili kupitia wale magaidi, mimi nasimama na Israel kukomesha hao Iran ambao ni wafadhili wakuu wa ugaidi duniani.
Wahanga kiuchumi ni sisi wadigo toka Kinyamwezi, ila nashangaa tunavyoshabikia na kufurahia hizo vita hadi kutukanana kisa tu utumwa wa dini za Mabeberu zisizotupatia hata sh 100.Vita Ni Mbaya Sana
Sasa Wamesema Imeisha Halafu Walianzishe Tena
Hapo Utakuta Viongozi Wakuu Wa Iran Ndiyo Wanaanza Nao