Usiropoke Ayatollah Khamenei hayupo shimoni na anaendelea na fatwah zake muda wowote ule.Ayatollah anaanbiwa toka shimoni huko vita nje imesitishwa haamini mpaka leo bado yuko mapangoni, anajirekodi na kurush viclip vyake vya kishujaa akiwa amejificha. Uhai sio mchezo.
Haya Maoni ya Misikitini yalitoka kabla hata vita kusimama sasa imesisimama mmegeuza sentensi eti itatokea tena,Ndani ya wiki moja baada ya kusitisha mapigano, israel imepokea zaidi ya tani 800 za silaha toka marekani, ujerumani na nchi za magharibi,bila shaka na makombora ya udunguaji ya iron dome
Pakiwa na taarifa kwamba awamu ya pili ya mashambulizi itakua mzito zaidi na kuenea zaidi ndani ya iran
Iran nayo,toka ndani ya vyumba vya vita inadai kuna kitu kinakuja
Wakati huohuo houthi wameandikisha wapiganaji wapya zaidi ya elfu 80
Duru zinaarifu wanataka kuangusha dola ya kiislam na kuigawa Iran wakiyatenga majimbo tajiri ya mafuta kwa mtindo wa Libya,wakati utasema
Hajahudhuria mazishi ya makamanda wake ujue!Usiropoke Ayatollah Khamenei hayupo shimoni na anaendelea na fatwah zake muda wowote ule.
Acha kuropoka.
Mayahudi yanaenda kuishi kwenye mapango tena kama mapimbi🤣Ndani ya wiki moja baada ya kusitisha mapigano, israel imepokea zaidi ya tani 800 za silaha toka marekani, ujerumani na nchi za magharibi,bila shaka na makombora ya udunguaji ya iron dome
Pakiwa na taarifa kwamba awamu ya pili ya mashambulizi itakua mzito zaidi na kuenea zaidi ndani ya iran
Iran nayo,toka ndani ya vyumba vya vita inadai kuna kitu kinakuja
Wakati huohuo houthi wameandikisha wapiganaji wapya zaidi ya elfu 80
Duru zinaarifu wanataka kuangusha dola ya kiislam na kuigawa Iran wakiyatenga majimbo tajiri ya mafuta kwa mtindo wa Libya,wakati utasema
Kutokuhudhuria mazishi haimaanishi kuwa yupo shimoni.Hajahudhuria mazishi ya makamanda wake ujue!
Thibisha kama kweli hayupo shimoni sio unaandika tuKutokuhudhuria mazishi haimaanishi kuwa yupo shimoni.
Siko kila mazishi anahudhuria.
Na mkumbuke ni mzee wa 86 years.