Awamu ya Rais Samia ndiyo awamu iliyofeli kuliko awamu zote na kufanya wananchi kujutia zaidi uongozi huu

Ongezeko la mshahara lina tija gani kwa mlala hoi!? Linaongeza mzunguko wa fedha mtaani!?.

Ongezeko lililofanywa kisiasa kwa kulenga 2025.

2025 we will murder someone, labda waweke mgombea mwingine.

You have my words.
Rudi darasani wewe mbumbumbu

Mlala hoi anauza mchicha ,anauza nguo,anatembeza samaki nk

Ongezeko.la salary inaongezeka purchasing power ya mtumishi (consumer) ambae automatically hakai na pesa ndani Bali ataongeza expenditures.

Same applied kwenye Ajira Mpya na Posho kuongezeka.
 
Mwambie anunue kipaza sauti aende stand kulalamika 😁😁
 
Tunajadiliana na watu wengi wajinga wajinga humu jukwaani. Haelewi maana ya purchasing power kuwa juu.
 
Tunazungumzia kodi isiyo kandamizia kandamizi kwa mwananchi wa kawaida.

Unataka kutuaminisha na data zako plus mabandiko yako ya kupika yaliyoandaliwa na chawa kama wewe.
 
Tunazungumzia kodi isiyo kandamizia kandamizi kwa mwananchi wa kawaida.

Unataka kutuaminisha na data zako plus mabandiko yako ya kupika yaliyoandaliwa na chawa kama wewe.
Na wewe Tuletee mabandiko ya kuchemsha ambayo hayajapikwa.

Kodi kandamizi ni kama zipi? Zimeanza na Samia? By the way Samia amezifita Kodi nyingi sana na kurahisisha mambo ya regulatory kiasi kwamba Leo kama unadaiwa Kodi hufunhiwi biashara kama kule mlikokuwa mnapora pesa za wafanyabiashara
 
HII mbona kinyume chake
 
Kufanya mengi ndo kuongeza mishahara?

Mlioko kwenye mnyororo wa kiunyonyaji bhana! Natamani ningelikuwa nakujua ningelikuchapa kibao
 
Kufanya mengi ndo kuongeza mishahara?

Mlioko kwenye mnyororo wa kiunyonyaji bhana! Natamani ningelikuwa nakujua ningelikuchapa kibao
Mimi pia ningekuchapa kibao cha uso. Pesa imeongezeka mtaani, TRA hawafungi biashara za watu kwa kuwakomoa kisa vyeo vyao, wanatumia njia za kistaarabu za kupata pesa yao ya kodi.
 
Una akili mbovu sana, kwahiyo unaamini kutofungiwa biashara ndo kupunguza ukali wa kodi!?

Mama ako aliamua kuzipunguza baada ya kuona maji yamemfika shingoni.

Mkuu ongezeko la mshahara lilifanywa kwaajili ya kukufumba macho mjinga kama wewe ambaye haujielewi ili 2025 ukawachague.

Grow up and open your eyes.
2025 we gonna murder you and your grandmaπŸ˜€.
 
Umeandika pumba πŸ—‘οΈπŸ—‘οΈπŸ—‘οΈ

Kutofungwa biashara kunakupa uhakika wa existence kwenye soko na wateja kujenga trust na Biashara Yako na mwisho faida

Mama yangu aliamua kuzipunguza kutoa nafuu zaidi Kwa Mwananchi,kumfika Shingo ipi wewe nyumbu? Kwani aliziweka yeye?

Ajira Mpya, Ongezeko la salary ni njia za kuongeza money supply kwenye uchumi hivyo kuchochea uchumi zaidi,huo ushuzi umeandika kamsimulie mkeo.

Mwisho on top of that watu wanazidi kupiga hela wewe unalalamika 🀣🀣🀣🀣🀣

View: https://www.instagram.com/p/CxXXcYVsRKC/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Tuwekee bei hivyo vitu ulivyo vitaja kipindi cha JK, JPM na sasa tulinganishe.
 
Huduma zote zimefeli mno kama Huduma gani na thibisha.

Dola sio kesi ya Tanzania tuu ni tatizo la Dunia.

Serikali haijaleta Ukame unaokausha mabwawa ya umeme

Lini na wapi huduma ya maji safi ilikuwa 100%? Inajaribu kimdanganya nani?

Pesa mtaani haipo,umewahi sikia kwamba vyuma vimekaza?

Bidhaa kuwa chini ni dalili ya mdororo wa uchumi,kama bidhaa ziko Juu umewahi sikia wafanyabiashara wanakwambia wanapata hasara? Au bidhaa hazinunuliki?

Tanzania haizalishi mafuta,mafuta yangekuwa Juu Wakenya wasingekimbilia kununua Tanzania.Nchi ipi mafuta ni bei cheapa hapa EAC?

Tangu lini bei ya bidhaa za ujenzi ilishuka? Unakumbuka uhaba wa saruji 2020? Alikuwa Samia? Vifaa vya ujenzi vipianda Toka 2019 Kwa hiyo acha uzushi.

Kama Bandari zimemshinda mapato mengi ya serikali yanatoka wapi? Unajua Bandari zetu Hadi 2022 zimevunja rekodi ya volume kubwa ya mzigo? Acha utoto

Kodi nyingi na za ajabu ajabu kama.kodi zipi mbona huzitaji unaongea kama unachambana? πŸ€ͺπŸ€ͺ

Aliyekwambia umeme wa REA sio 27,000 Vijijini na Urban Peripheral ni nani? Unadanganya Ili umnufaishe nani? Wewe unanufaikaje?

Mwisho unawafahamu hao wanaopuyanga unga? Wanawake wataenda jela how? Na wewe kuwa Mke wa mkubwa upate mafao.

Your Magufuli aliongoza Nchi kwenye kipindi hakuna Changamoto zozote za Dunia au za ndani ya Nchi.

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1705167780528472297?t=zfdnSzUC70GSTYgl9G7tFQ&s=19
 
Huyu amefeli sana kwa kua mtu mjinga anayeyejiamini. Kumpinga magufuli ilikua kosa kubwa na ndicho kitu kilimtenga na umma wa wananchi.
 
Huyu amefeli sana kwa kua mtu mjinga anayeyejiamini. Kumpinga magufuli ilikua kosa kubwa na ndicho kitu kilimtenga na umma wa wananchi.
Huyu amefeli sana 😁😁😁😁

Shule kama hizi Maalumu za Wasichana zinajengwa Mikoa 26 chini ya Samia,hakuna kima mwingine yeyote amewahi fanya hivi.

Hapo sijazungumzia Sekondari za O level,Shule za Msingi nk

View: https://twitter.com/ortamisemitz/status/1704203321022493104?t=EeU0isNSZMIWHQeOGITMEg&s=19
 
Kujengwa mikoa 26 ndo kitu gani? Na ni shule ngapi sasa hizo?

Kuna walijenga na kuanzisha vituo vya afya nchi nzima na kuingiziwa umeme wananchi kwa bei karibu ja bule, leo yako wapi? Huduma mhimu mnazifanya ziwe kama anasa kwa wananchi? Chawa mkubwa wewe

Hiyo ya kujenga shule 26 akiondoi ukweli kwamba, huduma kwa wananchi ni mbovu kuliko falme zozote zilizowahi kupita Tanzania
 
Kujengwa mikia 26 ndo kitu gani?

Hakiondoi ukweli kwamba, huduma kwa wananchi ni mbovu kuliko falme zozote zilizowahi kupita Tanzania
Na nyie mlioshindwa kuweka dawati za Watoto onyesheni mlichofanya 🀣🀣

Sasa kwani ukiongea wewe huo ujinga wako ndio inafanya Huduma kuwa mbovu? Endelea kuongea ila haibadili ukweli kwamba Samia amewafunika woooote hapa mnajifariji Kwa maumivu ya wivu tuu 😁😁

View: https://twitter.com/wizara_afyatz/status/1704379131322859950?t=LRpbxPr1Fjd23uX827wntA&s=19
 
Unajua kipimo cha CT SCAN ni shilingi ngapi!?
Na hospitali ngapi zina huduma hiyo maana ulivo punga umejikita kusini tu.

Chawa promax hebu tupe na hospital zingine zenye hiyo huduma na ni bei gani kwa kipimo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…