Awamu ya Rais Samia ndiyo awamu iliyofeli kuliko awamu zote na kufanya wananchi kujutia zaidi uongozi huu

Muajiriwa wa serikalini anayetembelea V8 na kulipwa marupurupu ya millioni kila mwezi na kuzurura tu pasipo kufanya kazi ngumu...hawezi elewa mantiki ya huu uzi
huu uzi una maana kubwa sana
 

Mama Abdul hajui kinachoendelea nchi hii, na kama anajua, basi hajali. Anaishi kwenye bubble ya maisha ya Urais.
 

Kabisa, uko sahihi, hata mwendawazimu ana maoni, funguka.
 
Nape anasema msiompenda mama muuza ni kikundi tu cha wachache.
 
Mkuu kwenye biashara nadhani hauko sahaihi sana
 
Embu jibu hoja za mleta uzi, tofauti na hapo na wewe unanzishe uzi wa kusifu. Huyu ajibiwe kwenye hoja zako.
Ndio kajibu!
Umenena kweli tupu!
 
confidence 0% sasa tunajua anayekushika mkono ni yule mwizi wa msoga mpiga madili!
JK - Bilioni 360 Richmond, Dowans & Escrow (sio hela ya serikali) kwa miaka 10. Mawaziri wakawajibika kwa kujiuzulu

JPM - Tiririoni 3 kwa mujibu wa vitabu vya CAG kwa miaka 5. CAG kafurumushwa. Hakuna waziri aliyejiuzu.

Nani Jambazi? Wa Msoga au Chato?
 
Kodi ndo hizo zinazoliwa na ripoti ya CAG haifanyiwi kazi??

Acha ushabiki wa kishamba mkuu
 
Narudia:

Ulitaka kuagiza nini nje ya nchi kwa kutumia Dollar ukakosa
Narudia tena,

Ingawa siwezi kukwambia chochote kuhusu kile naagiza kwa dollar na imekuwa changamoto

Ila ukae ukijua, nakupa siri tu za wafanya biashara sisi kwamba, hata hayo mafuta kuoanda saana, changamoto ni dollar
 
Uko sahihi

Kile usichokuwa sahihi, umeshindwa kubainisha unafuu wa mkulima anaupata wapi na atajiendeleza vipi anapouza mazao yake kwa bei juu, akirudi kwenye vifaa vingine vya ujenzi, analutana na mrundikano wa bei

Nafuu yake ni ipi hapo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…