Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
samahni kwa kuingilia maongezi yenu,,Na umepost, smart phone yako inatunza chaji,usisingizie solar
Nifumbue machosamahni kwa kuingilia maongezi yenu,,
resources za kuchajia gadgets sio umeme tu chief
Huduma zote mhimu kwa wananchi zimefeli vibaya mno
Huduma za matibabu hovyo
Dollar hakuna
Umeme hakuna
Huduma ya maji safi ni taabu
Pesa mtaani hakuna
Bidhaa juu, hadi kero
Mafuta hayana mdhibiti, mfanya biashara akiamka vibaya tu, hasira zote anazielekezea kwa walala hoi, anapandisha bei ama kuficha bidhaa hiyo
Bei za vifaa vya ujenzi havishikiki!
Bandari zimemshinda kuzisimamia
Ni awamu itakayeongoza kuwapeleka jela wanawake
Kodi nyingi na za ajabu ajabu, ni awamu hii
Lilianza suala la umeme, kutoka 27,000 hadi malaki ya fedha kuingiziwa umeme, badaye kulifuata Bima ya mtoto utadhani mtoto ana hatia kuzaliwa duniani!
Badala yake, tumeona sheria za wake za maraisi kuingizwa kwenye kulipwa utadhani na wao wanaingia ofisini
Mbona hawazungumziwi na au sheria hiyo kuwahusu wake za watumishi wote wa umma?
anaweza kua anachajia ofisiniNifumbue macho
Mimi naona ni awamu iliyo fanikiwa kuliko iliyopita.
Miradi mingi ya kimkakati imeanzishwa na mingine kumaliziwa ya awamu ya tano na ikiendelezwa vizuri.
Bei ya bidhaa kama Korosho , ufuta na Mbaazi kuimalika.
Biashara kuimalika
Ajira zinatangazwa na watoto wa masikini wanaajiriwa
Mzunguko wa pesa kuonekana
Uchumi wa mtu mmoja mmoja kuboreka na huduma za kifedha kuwa Bora zaidi hasa kibenki
Foreign direct Investment imeongezeka na viwanda vipya vinafunguliwa huko Mkuranga na Kibaha
Uboreshaji wa maslahi ya watumishi angalau kidogo
Uhuru wa mawazo na mikutano ya kisiasa umezidishwa
Wakulima angalau wanaona faida
Elimu ya juu pesa imeongezwa.
Biashara pekee anayofanya na kusifia inalipa ni ya uchawa ile ya "Kuabudu na kumsifu" mtukufu mwenyekiti😀Biashara ipi wewe unafana na inatembea mkuu??
Nape anasema msiompenda mama muuza ni kikundi tu cha wachache.Huduma zote mhimu kwa wananchi zimefeli vibaya mno
Huduma za matibabu hovyo
Dollar hakuna
Umeme hakuna
Huduma ya maji safi ni taabu
Pesa mtaani hakuna
Bidhaa juu, hadi kero
Mafuta hayana mdhibiti, mfanya biashara akiamka vibaya tu, hasira zote anazielekezea kwa walala hoi, anapandisha bei ama kuficha bidhaa hiyo
Bei za vifaa vya ujenzi havishikiki!
Bandari zimemshinda kuzisimamia
Ni awamu itakayeongoza kuwapeleka jela wanawake
Kodi nyingi na za ajabu ajabu, ni awamu hii
Lilianza suala la umeme, kutoka 27,000 hadi malaki ya fedha kuingiziwa umeme, badaye kulifuata Bima ya mtoto utadhani mtoto ana hatia kuzaliwa duniani!
Badala yake, tumeona sheria za wake za maraisi kuingizwa kwenye kulipwa utadhani na wao wanaingia ofisini
Mbona hawazungumziwi na au sheria hiyo kuwahusu wake za watumishi wote wa umma?
Watu milioni 62 na wanaongezeka, ni changamoto nzito ya ongezeko la watu. Ni mtihani kwa waziri Biteko.Hili shairi umeandika hapa kisha nikicheck hakuna umeme, natamani hata ugongwe na gari ufe au upate kilema Cha maisha.
Mi mtumishi wa Afya mzee nachaji nikiwa job umeme haukati ila nikirudi home giza zitoNa umepost, smart phone yako inatunza chaji,usisingizie solar
Mkuu kwenye biashara nadhani hauko sahaihi sanaMimi naona ni awamu iliyo fanikiwa kuliko iliyopita.
Miradi mingi ya kimkakati imeanzishwa na mingine kumaliziwa ya awamu ya tano na ikiendelezwa vizuri.
Bei ya bidhaa kama Korosho , ufuta na Mbaazi kuimalika.
Biashara kuimalika
Ajira zinatangazwa na watoto wa masikini wanaajiriwa
Mzunguko wa pesa kuonekana
Uchumi wa mtu mmoja mmoja kuboreka na huduma za kifedha kuwa Bora zaidi hasa kibenki
Foreign direct Investment imeongezeka na viwanda vipya vinafunguliwa huko Mkuranga na Kibaha
Uboreshaji wa maslahi ya watumishi angalau kidogo
Uhuru wa mawazo na mikutano ya kisiasa umezidishwa
Wakulima angalau wanaona faida
Elimu ya juu pesa imeongezwa.
Ndio kajibu!Embu jibu hoja za mleta uzi, tofauti na hapo na wewe unanzishe uzi wa kusifu. Huyu ajibiwe kwenye hoja zako.
Umenena kweli tupu!Hebu ngoja tuone hao wanaoitwa wanyonge kipindi Cha awamu iliyopita na hali zao ilikuwaje.
Wakulima:
Hili kundi halina bima na ridhiki yao ni jembe la mkono.
Asilimia almost 70% ya Watanzania wanajihusisha kwa namna Moja ama nyingine.
Lakini hali zao ziliboreka kipindi Cha awamu iliyopita?
Tuwatazame wakulima wa Korosho mikoa ya Pwani, Lindi,Mtwara na wilaya ya Tunduru.
Kabla serikari haijaingilia bei ya Korosho ilikuwa vizuri na wakulima waliita dhahabu nyeupe.
Lakini awamu ya tano ikaingia, tena mbaya zaidi ikatuma jeshi ndilo likusanye badala ya makampuni ya kigeni, matokeo yake,
Watu kudhulumiwa Korosho zao, vipigo kwa walanguzi na kushusha bei ya soko.
Kilimo Cha Mbaazi
Kilikuwa vizuri kilo ilienda mpaka 3000 na kunufaisha hawa wanyonge unao waits matokeo yake awamu ya tano ikaingiliwa, ikabiruga Soko na Mbaazi kushushwa mpaka 1000 kwa kilo.
Yaani muokota chupa za plastiki anapata pesa nyingi kuliko mkulima wa mbaazi, hebu fikiria kwa umakini.
Kilimo Cha Mahindi
Nani asiyejua bei ya pembejeo iliendelea kupanda kwa awamu iliyopita lakini bei ya mazao sokoni ilishushwa.
Wakati gharama ya kuhudumia shamba la mahindi ipo juu, Kuna mtu mmoja aliamua kuathiri chain nzima kwa kupiga marufuku masoko ya nje ambayo ni Kenya na Zambia.
Matokeo yake kaya masikini kule Sumbawanga na nyanda za juu kusini wakulima walikuwa wanapata hasara, kumbuka kule vijijini ndani ndani hutegemea kilimo hicho kuendesha maisha yao.
Hawakupunguziwa gharama za pembejeo za kilimo Wala kupewa chochote na serikari.
Kilimo Cha Nyanya
Waza mkoa wa Iringa na kitendo Cha kufungwa mipaka kilifanya Nyanya zishuke bei mpaka sado 500.
Je gharama za Nyanya, mbolea, mbegu, vibarua ilipungua?
Vipi wananchi wenye hali duni kule kilolo? Uliwafikiria?
Au hawa si wanyonge, labda Wana bima za kiasili kutoka kwa Mkwavinyika?
Mliaminishwa propaganda ambazo wachache walipata ukwasi usiomithilika na wengi mlikuwa bendera fuata upepo.
Vipi upotevu wa 1.5 Trillion ambazo CAG kazitaja kipindi Cha awamu iliyopita?
Vipi ununuzi wa Ndege kwa Cash ambazo value of money haionekani?
Kwenye Taifa masikini
Kwa nini sheria ya fedha, na budget ilikuwa haifuatwi?
Unajua kwenye ujenzi Kuna wizi mkubwa zaidi?
Kwa nini sheria ya manunuzi haikufuatwa?
Kwa nini Vijana wachache kina makonda na wenzie wakawa matajiri ghafra?
Kwa nini mabenki yalifilisika?
Kwa nini mifuko ya hifadhi ya jamii ilikuwa merged?
*Acheni propaganda na uzalendo uchwara huku wachache wakifaidika
Je wamachinga aliwaundia sheria ya kuwalinda?
Aliboresha maslahi yao ya kazi?
Au ilikuwa kete ya kisiasa
JK - Bilioni 360 Richmond, Dowans & Escrow (sio hela ya serikali) kwa miaka 10. Mawaziri wakawajibika kwa kujiuzuluconfidence 0% sasa tunajua anayekushika mkono ni yule mwizi wa msoga mpiga madili!
Kodi ndo hizo zinazoliwa na ripoti ya CAG haifanyiwi kazi??Petrol inatoka nje ya nchi inanunuliwa kwa fedha ya kigeni, hakuna namna ambayo sisi tunaweza kuwa na utawala wa bidhaa ya kutoka nje, wanaitawala wenye kumiliki hizo biashara na sio sisi.
Huko Lindi wamepata hospitali mpya tangu nchi ipate uhuru, unapowaambia awamu hii ni mbovu inabidi uje na hoja zenye kuingia vichwani mwao.
Kodi huwezi kukwepa kuzilipa iwapo unataka huduma ziboreshwe. Hao wanaotupa misaada wanajinyima matanuzi ili sisi tuweze kuishi, kumbuka hilo kabla hujaendelea kulialia.
Bandari inapata mwekezaji DP World na mwezi Novemba anaanza kazi, kule Mbegani Bagamoyo pia anakwenda kupatikana mwendeshaji mahiri, hiyo sekta ya uchukuzi serikali imejipanga kisawasawa.
Masuala mengi ya kiuchumi yanakwenda kupata ufumbuzi.
Punguza kulialia.
Narudia:Swali lipi hapo mkuu!
Yaani wewe ndo unataka kubisha kwamba dollar ni shida?
Twende na takwimuMkuu kwenye biashara nadhani hauko sahaihi sana
Narudia tena,Narudia:
Ulitaka kuagiza nini nje ya nchi kwa kutumia Dollar ukakosa
Uko sahihiHebu ngoja tuone hao wanaoitwa wanyonge kipindi Cha awamu iliyopita na hali zao ilikuwaje.