Kusogea sio kushambuliaKipindi jeshi la USA linasogea middle east kwahy jeshi la Iran lilikuwa vacation?
Me huwa nakuwa wa mwisho kuamini makobazi huwa hawana la ukweli wanaloongea. uongo tu daima kwao.Waziri wa mambo ya nje wa Iran amekanusha . Viongozi wote wapo fit na Wana afya njema.
Kwanini wasipost picha kama wanavyodai wanayo? Maana kwa Ghadafi walipost mpaka video,si waesema picha wanayo why wasipost.Kwanini Ayatollah asijitokeze kuthibitisha Netanyau ni muongo?
“Hizi taarifa za kuwa Kiongozi Mkuu wa Iran ameuwawa nadhani zitakuwa na ukweli ndani yake, ameuwawa yeye pamoja na Viongozi wengi wa juu ambao ni Wafanya maamuzi wa Iran, kuhusu nani atamrithi Khamenei nadhani watanipigia simu kuniuliza nani nataka awe Kiongozi wa Iran”
- Donald Trump, Rais wa Marekani.
Kwanini wasipost picha kama wanavyodai wanayo? Maana kwa Ghadafi walipost mpaka video,si waesema picha wanayo why wasipost.
Ila waziri wa mambo ya nje tena kahojiwa na chombo cha habari cha magharibi, kwamba viongozi wote ni wazima ,so ngoja tusubiri inawezekana ikawa kweli au propaganda za magharibi.
Huyu Mange Kimambi nae anajitia anauhakika na taarifa yake kwamba kiongozi ameuliwa.Uwezekano ni mkubwa kauawa.
Usiku wa Leo Iran ilikuwa na Operation Tue promise 4 lakini naona imepigwa kichovvu
Kujifajiri tuHabari njema lakini kifo chake kitaibadilisha Middle East kwa kiwango kikubwa sana.
MamaeeeeIla kama Ayatollah kweli kauawa kitu pekee ambacho kinaweza kunifariji ni nyeto tu aisee.
Yaani inauma, we acha tu.
Ni kama video ya Mafwele itakuwa nao walitumiwa view onceKwanini wasipost picha kama wanavyodai wanayo? Maana kwa Ghadafi walipost mpaka video,si waesema picha wanayo why wasipost.
Ila waziri wa mambo ya nje tena kahojiwa na chombo cha habari cha magharibi, kwamba viongozi wote ni wazima ,so ngoja tusubiri inawezekana ikawa kweli au propaganda za magharibi.
I don't believe in ghosts. Do you?Recent post kutoka kwenye official account ya Khamenei.
View attachment 3550295
Ndio hivyo tena, Ayatollah hakuwa na namna ya kuwakimbia kwa technology waliyokuwa wanatumia, AI is very dangerous na hata Maduro walimkamata chumbani kwake with same technology, wakikutaka hawakukosiDan, inauma sana.
Ni technology mzee, wakisha kuweka kwenye target umekwisha,hawavizii tena wanakuona in real time,AI haitamwacha mtu salamaTrump lazima ajisifie itakuwa alipewa target ya walipo ndo maana wakatuma vitu ila ngoja tuone muda ndo jibu sahihi