Azam TV yapandisha bei za vifurushi kuanzia Agosti 1 mwaka huu

Manguli tupo 3e, 4w,8e,8w7w,7e,51e,36e,46 na 57e tunafurahia maisha na teknolojia bila stress za kupandishiana vifurushi.
 
DSTV wamepandisha tangu July mosi mwaka huu.

It's like kuna sera inaongoza kupanda na kushuka kwa hivi vifurushi
 
DStv
 
Ni muvi za mkojani zimejaa tu[emoji1787][emoji1787]
Azam Media wanatakiwa waishukuru sana TFF. Maana Ligi ya Bongo ndiyo inayowapa jeuri ya kupandisha gharama za vifurushi vyao.

Nje ya kuonesha Ligi ya Bongo, jamaa hawana maajabu. Vipindi vyao vingi ni vya kawaida sana.
 
Halafu ving'amuzi vyao wameviuza kwa wingi, nilitegemea bei ya vifurushi kupunguzwa. Anyway, wao sio pekee hapa nchini.
 
Mkuu...kama Gharama zimepanda ulitaka waingie hasara kufurahisha wateja?..

Je unajua sababu zinazopelekea kupanda kwa Gharama za Vifurushi??
Sasa mbona gharama ya kununua king'amuzi walipunguza na wanauza kwa wingi?
 
Njoo DStv
 
Hao Azam ni wa kuwapotezea TU ,wameshaona watu wajinga .Vipindi vyenywe vya maana hakuna.Na hili linasababishwa na kukosa mpinzani kwenye kuonyesha ligi kuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…