Huenda kuna rushwa ilitembea hapo, viongozi wenye akili timamu hawawezi kukubaliana na mkataba wa kinyonyaji namna hiyoNawalaumu bodi ya ligi kuchukua pesa bila kuangalia thamani ya pesa kwa muda husika, huu mkataba ulipaswa uwe wa miaka 10 ila thamani ya fedha iwe kwa dollar
Si mnasifu kila siku eti Mama yenu Anaupiga Mwingi!!!?
Ving’amuzi bila dish ni 90k - 120kGharama za decorder na vifurushi zipoje mkuu
Serikali ipi! hii hii ya kila mtu ale urefu wa kamba yake[emoji3]Hadi sasa hakuna maelezo yoyote juu ya kupanda kwa vifurushi vya Azamtv, hata Serikali nayo ipo kimya.
Huyo aliyejibu hivyo ni wewe ama umeichukua mahali tu?
Iphone zilikuwa simu za kibingwa sana, hata na hivyo huyo inaonekana ni iphone 6!
Unamilikije iphone ulilie bei ya vifurushi vya azam aiseeh!??
Fair = FearHawa jamaa hawamalizi miezi 6 bila kupandisha bei. Sio fear kabisa.
Hahahaaaa..... Ndio mkuu.Serikali ipi! hii hii ya kila mtu ale urefu wa kamba yake[emoji3]
Miaka 9 ijayoMkataba wa Azam na TFF unaisha lini DStv achukue mikoba,
Nashukuru comrade, kichwa kina mambo mengi boss.Fair = Fear
Wake zetu na watoto watakununia kama hujalipia kifurushi. Washatufanya waathirika wa tamthilia hivyo hamna namna, japo tunaumia sana. Mbinu pekee ni kuiuzilia mbali tv na king'amuzi/antena yake.Si mnapenda kuangalia Simba Day na Yanga Day na Sultan !
Kwani azam tv ni guide book au?🤔🤔Walimu watakoma
Cc [mention]Mpwayungu Village [/mention]
Wazanzibari wanaipenda hii Tamthilia ya ottomanWanaongeza bei halafu tamthiliya zenyewe ndiyo hizi za Ottoman! Kazi kweli kweli.
Miaka mingapi wamepewa haki ya kuonyesha ligi kuu bara?Na wao walilijua hili competition itakuja kuwa kubwa sana, wakajihami na miaka mingi
Ten yearsMiaka mingapi wamepewa haki ya kuonyesha ligi kuu bara?
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Kwanini waliingia mkataba wa miaka mingi hivyo, inatakiwa mkataba huu ukimalizika, watangaze tenda kila kampuni ziombe ili kuleta ushindani na inatakiwa kampuni zaidi ya moja zipewe haki ya kuonyesha ligi.Ten years
sasa hio ni premium wakubwa hawasumbuliwi sanaKwa hiyo hakuna mabadiliko ya cha 35,000