Azam TV yapandisha bei za vifurushi kuanzia Agosti 1 mwaka huu

Azam TV yapandisha bei za vifurushi kuanzia Agosti 1 mwaka huu

Nawalaumu bodi ya ligi kuchukua pesa bila kuangalia thamani ya pesa kwa muda husika, huu mkataba ulipaswa uwe wa miaka 10 ila thamani ya fedha iwe kwa dollar
Huenda kuna rushwa ilitembea hapo, viongozi wenye akili timamu hawawezi kukubaliana na mkataba wa kinyonyaji namna hiyo
 
Hadi sasa hakuna maelezo yoyote juu ya kupanda kwa vifurushi vya Azamtv, hata Serikali nayo ipo kimya.
 
Huyo aliyejibu hivyo ni wewe ama umeichukua mahali tu?
Iphone zilikuwa simu za kibingwa sana, hata na hivyo huyo inaonekana ni iphone 6!
Unamilikije iphone ulilie bei ya vifurushi vya azam aiseeh!??

Sijakuelewa point yako unataka nini hasa?
 
Si mnapenda kuangalia Simba Day na Yanga Day na Sultan !
Wake zetu na watoto watakununia kama hujalipia kifurushi. Washatufanya waathirika wa tamthilia hivyo hamna namna, japo tunaumia sana. Mbinu pekee ni kuiuzilia mbali tv na king'amuzi/antena yake.
 
Back
Top Bottom