Hbr za kwenda pre season USA kama mtu wa mpira utakuwa unakumbuka Kanjibhai MO alivyotoa hiyo taarifaNenda kwenye page ya Takadini, katazame, km kafuta bas, ila alitutambia wazi wazi. Hatusahau kabisaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aziz Ki kawakomeshaaaaa, ulimbukeni wote fyaaaah
Tetesi za usajili wa Azizi Ki ambaye mlikaza shingo zenu kwamba hawezi kusajiliwa na Yanga coz hamna pesa hiyo na hatimaye kasajiliwa na Yanga na mnaishia kula maneno yenu wenyeweTetesi mkuu si ndo zinatupeleka kwenye ukweli kwani taarifa za yanga kumsajili aziz ki zilianza kutoka kabla yanga haijathibitisha na ukakubali ila hili la kambi uturuki unakataa kwasababu ni la fedheha mpaka club ithibitishe ila usajili wa aziz ki uliamini tetesi tu kabla club haijathibitisha hivi utopolo ujinga mtaacha lini.
Ni mpumbavu tu ndio anaweza kujikujichinja mwenyewe na kujinyonga wakati kwenye maisha yake anapata kila anachokitaka na hana stress kabisa kwenye maisha yakeTake a knife Jichinje mwenyewe
Wameshindwa nani zaidi wataweza kuchangia timu wasubiri tu mahindi ya njano wale ugaliMjomba punguza makasiriko. Bosi kasajili, jiungeni basi mjipige msaidie timu. Sio mnapiga kelele kumbe hata mia hamtoi...
Yanga itapigaje kambi moja na Dodoma Mji? Mnajishushia heshima watani....
Umeamia kwenye timu yetu tena na sio kusisitiza kuhusau source?Ni mpumbavu tu ndio anaweza kujikujichinja mwenyewe na kujinyonga wakati kwenye maisha yake anapata kila anachokitaka na hana stress kabisa kwenye maisha yake
Ila kupitia timu yenu wenyewe yenye kila aina ya matatizo ndio mlipaswa kujiua wenyewe coz hakuna ahueni mtakayopata kwenye maisha ya soka
Yaani mkisimama nchale,mkiinama nchale na mkikaa nchale
Which source?Umeamia kwenye timu yetu tena na sio kusisitiza kuhusau source?
Kwa maana hiyo umekubali kuwa source ni trustable?
Unakataa tusitumie maoni binafsi at the same time nakuona ukipinga source kwa maoni binafsiWhich source?
Umeshindwa kuleta source hapa na ndio maana lazima nikupe namna ya kueleza facts na sio opinions zako mwenyewe
Nitaendelea kupigania kushusha level yenu ya umbumbumbu na mm siamini kabisa ww Scars umeshindwa kuutoa umbumbumbu ulionao kichwani ni either kiburi chako mwenyewe au level of maturity ni ndogo kwako
Ukubwa wa team hauji au haupimwi kwa league ya ndani hii mnayoahidi million 10 kila mkoa kwa team inayoifunga simba hata real Madrid ni club kubwa na yenye thamani duniani sio kwa kuchukua laliga title ila ni kwenye UEFA CHAMPIONS LEAGUE sasa wewe hata uchukue league miaka mitano kama kimataifa hufanyi vizuri mtaishia kwenda manungwi tu kula miwa yaani usajili mchezaji million 400 aje acheze kaitaba stadium na kagera wakati kimataifa mnawahi kutoka hzo hesabu za wapi utopolo mwaka wenu huu kwa usajili mliofanya msipofika fainali CAF champion's league mtafika mwaka gani unbeaten yanga daima mbele nyuma mwiko.Punguzeni Payo Payo wanasimba,nendeni mkajadili mambo ya msingi kwenye klabu yenu
Hii Yanga mnayo ijadili Leo hii,msimu msimu ulioisha imemaliza mashindano ya ndani bila kufungwa mechi hata moja na kuchukua makombe yote ya ndani
Fikiria na hizi addition mpya hiyo Yanga itakuwa ya moto sana na wala sio ya kukaa nayo karibu hata kidogo
Hugo azam,usajili aliofanya ndio balaa zaidi,kwahyo msipo angalia vzr msimu ujao mtacheza play off kabisa kama sio kushuka daraja coz kwasasa hatutafanya jitahidi zozote za kuwafanya msishuke daraja
Na huko kimataifa ndo hamtafika popote kwa kikosi cha wavunja kuni mlicho nacho kwasasa na aliyekuwa amewasaidia kwenye mechi za kimataifa mwaka Jana amerudi Yanga.
MNA matatizo kibao kwenye timu ya kuyamaliza mapema sana kabla ligi haijaanza coz hatutaki kusikia malalamiko ya bahasha za GSM
Nawakumbusha tena mwaka jana mlifanya mlikuwa na pre season bora sana ya siku 45 na Yanga walikuwa na pre season mbaya sana ya Sikh 7 na kurudi Tanzania ila kilichotokea kwenye ligi mpk sasa ni historia imebaki
Ulipewa official statement na kiongozi gani kwamba wanaenda uturuki? Unaweza ukawa mwanaume kumbe unazo homone za kike na mambo yako yanakuwa ya kikekike tu, Maumivu mnayopitia ni makubwa sana tunajua na mtaokoteza vimaneno vya kuwafariji mpaka mtanyoosha maelezo, kila timu inayo mipango yake, wewe shabiki wa kolokoloni uwezi kuipangia yanga cha kufanya, kazi yako itabaki kuwa mpiga ramli Kama mganga wa kienyeji kwakuwa bwana rage alishawalaani aliona vichwa vyenu ni empty,Hapo awali mabingwa wa Tz bara Yanga sc walipanga kwenda kufanya maandalizi ya msimu mpya nchini Uturuki.
Ikumbukwe kuwa usajili wa Azizi ki umeigharimu GSM kitita cha USD 200,000 na mshahara wa usd 10,000 kwa mwezi.
Raisi wa Yanga alimuomba Aziz ki wampatie nusu ya pesa ya usajili kwa msimu mmoja, na nyingine kummalizia msimu unaokuja lakini mchezaji huyo aligoma kupokea pesa nusu akitishia kugoma kujiunga na mabingwa hao wa Nbc.
Kutokana na kutumia pesa nyingi kwenye usajili wa Aziz ki GSM wameishiwa pesa hivyo wameona ni bora wakaweka kambi hapa hapa nchini.View attachment 2292457
Ile ni kutokana na ahadi ya mo kuweka kambi usa baadae timu inaenda kwenye mashamba ya miwa egypty kwa pesa ya m betIngekuwa kambi popote basi mngekuwa wakwanza kumsahihisha mhamasishaji wenu kwa kitendo cha kuibeza Simba kufanya preseason Misri badala ya USA
Kwa hiyo mnapigia pale pale city au mnazama ndani ndani huko manungu kujiweka fit na mechi za mikoani?
Source yako ya kipumbavu inapingwa kwa facts tu coz source yako ya habari ya kwenda pre season Turkey ilibidi iwe Klabu ya Yanga yenyewe,tofauti na hapo ni upumbavu tuUnakataa tusitumie maoni binafsi at the same time nakuona ukipinga source kwa maoni binafsi
Labda nikusaidie kwasababu hiyo video ni 1Hr running time na bundle zimekuwa ghali.
Anza kuangalia kuanzia dakika ya 35 hapo utaona mtangazaji akihojiana na huyo Agent kwa njia ya simu
wacha weeee mapendekezo yalikuja kujulikna tarehe 14 siku senzo anatuma email turkey? tangu wana book hawakuongea na kocha ?Sijapata kuona mwaka ambao nyau wanateseka kama huu! Hakika nyaunyau zimekamatika! Kambi nchini ni mapendekezo ya kocha alivyoangalia muda utakaopotea wakienda nje!
usihangaike na laki yako ina maana hujaona barua ya waturuki kudai fidia ya usd 87,000?Niletee hapa ushahidi Yanga walisema wanaenda Turkey nakupa laki moja
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kwani haujasikia kuwa imeahirishwa.?Kutoka Yanga hawawezi kumsajili huyo bwana mdogo, hadi sasa Yanga hawawezi kuweka kambi Uturuki...
Sidhani kama kwenda huko Uturuki Kama ni kipaumbele cha Yanga, kipaumbe ni kujenga kikosi kilicho bora ili yanga iendelee kubeba vikombe ,Kama inauma chomoaaaaKwa hiyo mnafanya kila kitu ili kutuziba midomk
Haya sasa Ooh Yanga hawawezi kwenda uturuki
Vipi mmeenda?
Nmekwambia leta hapa reliable source kwamba team itaenda Turkey , punguza kukaa salon za kike na dada zakoHiyo laki 1 mpe hersi aongezee hela ya kuwanunulia maandazi wachezaji wakiwa njiani kuelekea morogoro
Hilo domo chapati hakunji anapeleka lote loteYanga ilikuwa na wachezaji warembo warembo ila huyu kweli kiiii