Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

Where are you running, Homie?.

Just stay calm, arrange your paragraph.

By the way, I'm agreeing with you, How is it possible to the sane person spending such a huge amount of money for the woman like Hamisa.
 
Unakataa kuoa Single mama unakuja kuoa binti aliyetoa mimba zaidi ya kumi ,Mkuu usikaze fuvu ndoa ni tasisi inahitaji Upendo wa kweli maswala ya Usingle mama ni kwa wanaume dhaifu.
Ndoa ni taasisi ambayo mwanaume anatakiwa aanzishe yeye mwenyewe yaani aoe mke wake sio ajiunge kwenye familia/taasisi iliyoanzsihwa na mwanaume mwenzake

Mzee wa kupambania
 
Maza kisha kinukisha huko, anadai Herci anampelekesha dogo ili awndelee kubaki na Soka letu la mchangani
 
 
Tukiacha masihara Ebu tutafakari je "fame ya Azizi itakaposhuka itakuwa vipi maana pia endorsement zitapungua lakini pia dau za Azizi zitapungua maana kimsingi mchezaji anavozidi kukuwa kiwango kinashuka wanakuja nyota wapya na wanawika

Lakini mbili, Hamisa ni Kunguru ambaye hafugiki, kwa maana ya kwamba watu wazima kama kina diamond, majizo na hata yule mnigeria wame gonga mwamba je vipi kwa Huyu kijana ambaye alipaswa achukue binti wa 2000 waanze moja
 
JAMAN WATANZANIA MMEKUAJE?

KAENI KWA KUTULIA MSICHANGANYIKIWE HARAKA,

ILI MRADI UNAISHI TANZANIA, KILA MMOJA MMOJA ATACHANGANYIKIWA KWA WAKATI WAKE, NI SWALA LA MUDA TU.

KILA MMOJA ATAPATA MGAWO WA Ukichaa
 

Ukipata endorsement Kama mchezaji utafikia malengo mapema.

Kuhusu fame , Tz mambo kama ya mapenzi hufatiliwa Sana .

Na kuhusu kunguru mobeto., she is there to make money .

So in business wise

Azizi yupo sahihi., atapa deal nyingi kupitia ndoa yake ya kimkakati.
 
Yaani hii comment yako mwisho kabisa ndipo umeharibu manake ncheke 😀😀😀,Yaani Mwanaume Malaya kama Diamond ni wa kumuweka kama mfano kweli una uwezo mdogo sana wa kufikiri .Eti watoto wa 2000 unakijua vizuri hicho kizazi 😀😀😀hao wanaweza kuwa na Umalaya kupita wa huyo Hamisa
 
Tu conclude kwa kusema mmoja kaingia mazima,

Maana kwa uzoefu wangu mwanamke akifikisha miaka 30 hajawah kuwa na mahusiano. Yaliyodumu miaka basi Huyu hawezi kutulia maana hajazoea, kuchungwa na kuwekewa sheria

Sasa je Aziz ndio atapata deals, swali la msingi anamshauri mzuri kuhusu five years, plan or 10 years plan

Make 29+5yeaers to come= 34 ,29+10years=39 je Azizi ana mawazo kama haya, maana hii ndio prime age yake ya kubuild Vision yake, kabla haijabaki story

Lakini pia kuna ulimbukeni fulani kwetu vijana kwamba, kwenye life unakuta ulikuwahi hujawahi kupata mwanamke extreme Yan hajazoea such life, mwishowe una overdo kuliko normal

Sasa kutoa ng'ombe 30 plus 30M Ata kama unazo faranga(maybe ni ku-chase clout)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…