Tetesi: Aziz Ki anataka Dola laki tano kubaki Yanga

Tetesi: Aziz Ki anataka Dola laki tano kubaki Yanga

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
GHH2bw6W0AAKdE4.jpg
Kiuongo Mshambuliaji wa Yanga Aziz Ki amewambia viongozi wake kama wanamuhitaji kuendelea kusalia klabu hapo basi wanapaswa kumpa mkataba wenye thamani wa Dola laki 5.

Ofa ya Yanga kwa Aziz Ki ni dola laki tatu na nusu pekee. Vipi sasa wadau na mashabiki wa Yanga, Aziz Ki abaki au asepe tu?
 
Huyu anauzika ata kwa $2m kwenye ligi ya Africa kusini au championship kule Uingereza.
 
Kiuongo Mshambuliaji wa Yanga Aziz Ki amewambia viongozi wake kama wanamuhitaji kuendelea kusalia klabu hapo basi wanapaswa kumpa mkataba wenye thamani wa Dola laki 5.

Ofa ya Yanga kwa Aziz Ki ni dola laki tatu na nusu pekee. Vipi sasa wadau na mashabiki wa Yanga, Aziz Ki abaki au asepe tu?
Mzize anatosha huyo Azizi aende tu
 
Stephen Aziz Ki kwa offer alizonazo mezani ni lazima tu ataondoka kama ambavyo wengine wote waliowahi kuja nchini kwetu wakapata offer nono wakasepa zao, kikombe cha Clatous Chama, Fiston Mayele, Luis Miquissone na sasa Aziz tutaendelea kukinywa klabu za Kariakoo, yani Tanzania itawapa majina sana Wachezaji na mwisho ile peak wataenda kufaidi wengine.

STEPHEN AZIZ KI ana offer mbili kutoka Al Ahly na Orlando Pirates, amewapa Yanga unafuu wa offer ili aweze kusaini kwao na mahitaji yake kutoka kwa vyanzo vyangu anahitaji kiasi cha dola 500,000 ili aweze kusaini ikiwa ni sawa na BILLION 1.2 za Kitanzania.

Mpaka hivi sasa Wananchi hawana kiasi hicho na klabu kwa mujibu wa vyanzo imejipiga mpaka Dola 350,000 za Kimarekani wapo tayari kumpa ila Aziz ameshikilia zifike 500,000 ili asaini, jitihada zinaendelea ila kinachohitajika ni huo mzigo.

Aziz k anaipenda sana yanga,anaipenda sana ardhi ya Tanzania na anawapenda sana mashabiki wa Yanga ndomana ametoa haueni kwa yanga.

Note: Mazungumzo bado yanaendelea kati ya viongozi na mchezaji kuhakikisha anabakia.

20240521_141943.jpg
 
Naunga mkono Hoja , Ila kama Mtindo ni huu wa kuachia kila mchezaji anaefanya vizuri kwasababu ya kukosa hela Ubingwa wa Afrika tutausikia tu kwenye Bomba.
Mkuu unajua uzito wa $500,000 ni karibia na bajeti ya msimu mzima wa Sigida united au maji maji Fc hiyo ni 1.2bn pesa ndefu sana bora umpe umuuze $1m upate faida kutafuta wachezaji wa bei poa.
 
Back
Top Bottom