Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Ofa ya Yanga kwa Aziz Ki ni dola laki tatu na nusu pekee. Vipi sasa wadau na mashabiki wa Yanga, Aziz Ki abaki au asepe tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu anauzika ata kwa $2m kwenye ligi ya Africa kusini au championship kule Uingereza.Kiuongo Mshambuliaji wa Yanga Aziz Ki amewambia viongozi wake kama wanamuhitaji kuendelea kusalia klabu hapo basi wanapaswa kumpa mkataba wenye thamani wa Dola laki 5.
Ofa ya Yanga kwa Aziz Ki ni dola laki tatu na nusu pekee. Vipi sasa wadau na mashabiki wa Yanga, Aziz Ki abaki au asepe tu?
Mzize anatosha huyo Azizi aende tuKiuongo Mshambuliaji wa Yanga Aziz Ki amewambia viongozi wake kama wanamuhitaji kuendelea kusalia klabu hapo basi wanapaswa kumpa mkataba wenye thamani wa Dola laki 5.
Ofa ya Yanga kwa Aziz Ki ni dola laki tatu na nusu pekee. Vipi sasa wadau na mashabiki wa Yanga, Aziz Ki abaki au asepe tu?
Unamuuzaje mchezaji anayemaliza mkataba wake? Au umemaanisha kuwa wamsaini huo mkataba mpya kisha wamuuze?Huyu anauzika ata kwa $2m kwenye ligi ya Africa kusini au championship kule Uingereza.
Huyu pesa atapewa ndo auuzwe akiwa ndani ya mkataba soka ni biashara.Unamuuzaje mchezaji anayemaliza mkataba wake? Au umemaanisha kuwa wamsaini huo mkataba mpya kisha wamuuze?
Naunga mkono Hoja , Ila kama Mtindo ni huu wa kuachia kila mchezaji anaefanya vizuri kwasababu ya kukosa hela Ubingwa wa Afrika tutausikia tu kwenye Bomba.Huyu pesa atapewa ndo auuzwe akiwa ndani ya mkataba soka ni biashara.
Hio hela sio nyingi kama Club malengo yake ni kubeba Kombe la Afrika , Ni nyingi kama tunachotaka ni hivi vikombe vya Ndani tu na pia ni kubahatisha.Hizo fedha ni nYingi mno. TUnaweza kupata wacHezaji wawili wazuri kwa fedha hiyo
Kakufunga mara mbili huyo mzee Simba SC 🤣😁Hana kitu zaidi ya mdomo
Mkuu unajua uzito wa $500,000 ni karibia na bajeti ya msimu mzima wa Sigida united au maji maji Fc hiyo ni 1.2bn pesa ndefu sana bora umpe umuuze $1m upate faida kutafuta wachezaji wa bei poa.Naunga mkono Hoja , Ila kama Mtindo ni huu wa kuachia kila mchezaji anaefanya vizuri kwasababu ya kukosa hela Ubingwa wa Afrika tutausikia tu kwenye Bomba.