Baada ya bomu la vijana wasiyo na ajira naona mgomo mwingine kutoka kwa kundi la vijana lililorudishwa nyumbani kutoka JKT

Ni bora kiwe chama cha umoja wa majobless Tanzania ili ieleweke kirahs
 
Na bado mpaka kieleweke.

Hii national cake waile wote.
Unamlipa mbunge 20m kwa mwezi vijana hawana ajira na posho laki 6 Kwa siku. Wanafunzi wanaomaliza vyuo vikuu waendelee kupata boom mpaka pale watakapopata ajira. Tena isiwe mkopo. Vijana wamechoka kulelewa na wazazi wakati wamevuka umri wa miaka 18. Hata NIHF inawatema wakifikisha umri huo hata kama wazazi wao bado ni watumishi serikalini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…