Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana hizi movements ni spinning?CCM wanaakili kubwa sana
Umewaza mbali wewe 😃😃😃Ina maana hizi movements ni spinning?
Kulima pia kunahitaji mtaji uwe nao kwanza !🤣🤣 dah,
Siku izi wanaita uvivu wa kulima😅😅
Unamlipa mbunge 20m kwa mwezi vijana hawana ajira na posho laki 6 Kwa siku. Wanafunzi wanaomaliza vyuo vikuu waendelee kupata boom mpaka pale watakapopata ajira. Tena isiwe mkopo. Vijana wamechoka kulelewa na wazazi wakati wamevuka umri wa miaka 18. Hata NIHF inawatema wakifikisha umri huo hata kama wazazi wao bado ni watumishi serikalini.Na bado mpaka kieleweke.
Hii national cake waile wote.