Baada ya Dr.Samia S. Hassan kuhitimisha awamu yake ya pili ya Urais 2030, unadhani kuna mbadala wa mrithi wake zaidi ya Dr.Emmanuel J. Nchimbi?

siasa ni maisha gentleman,
usipokua na mawazo au mipango ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu utatoboa kweli aise?

bora liende ni mambo ya kizamani gentleman πŸ’



Kikosi kazi kazini reinforcing the narrative to the misukules mapema wazoee..
 
wakiwemo Dr.Samia Suluhu Hassan, Dr.Emmanuel John Nchimbi na wafanyabiashara wengine inatosha gentleman πŸ’

Nikajua utasema na wanaccm wengine, kumbe ni Rais, makamu, na wafanyabiashara πŸ˜„
 
Nikajua utasema na wanaccm wengine, kumbe ni Rais, makamu, na wafanyabiashara πŸ˜„
hata wewe unaweza kusema gentleman,

au kuna ubaya wowote ule, kwasababu huko wameenda waTanzania wa vyama vyote vya siasa πŸ’
 
Ni ngumu ujue Bashiru style yake ya uongozi ni kama ya Magufuli,kumuweka mtu degn hiyo ni ngumu buy it is possible.Ingawa ndio Magufuli alimuandaa awe mrithi wake halafu Polepole awe Waziri Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…