Baada ya DSTV kujichanganya kwa bei kubwa ya World Cup, AzamTv ni nafasi yenu hii kututangazia World Cup bei chee

Baada ya DSTV kujichanganya kwa bei kubwa ya World Cup, AzamTv ni nafasi yenu hii kututangazia World Cup bei chee

Seriously? Billion 20-100 za kibongo?
Mwaka 2015 Azam ilikuwa na thamani ya zaidi ya 600 million US Dollars hiyo ni Trilion 1 na billion 400 kwa Tsh. miaka 7 imepita piga hesabu leo itakuwa na thamani kiasi gani...?
Unaandika as if Azam inadeal na TV pekee. Unafahamu kwamba Azam sio TV tu bali ni Multi-Brand company?... Bila shaka jibu ni hapana.
Azam hajaamua, bila shaka anaona uwekezaji ni mkubwa na faida kwake itakuwa ndogo au karibu na hasara.
Kusema hana PESA ya kulipia rights sio kweli.

Unnecessary risky investment is not worth it.
Azam ubavu huo bado. Kwa upande wa Ving'amuzi bado hana wateja wengi wa kurudishia faida. Miezi minne iliyopita ilitolewa takwimu ya ving'amuzi na idadi ya wateja Azam kaachwa mbali na Startimes. Dstv sio ligi yake. Wengi wanafikiri Azam anavyoonesha Ligi Kuu Bara basi atakuwa na wateja wengi, hapana ving'amuzi vyake vingi vimefungwa sehemu za biashara hasa Bar+Vibanda umiza. Matumizi ya nyumbani wengi wana DStv na Startimes kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Information, Habari na Teknolojia
 
Mwisho wa siku serikali itaingilia kati na watanzania watashuhudia world cup buree kupitia free to air channels.

Kama huamini, wewe subiri uone nguvu ya wanasiasa.
CCM inanguvu mpaka kwenye biashara za mabeberu eeeh?
 
DStv jana wamezindua ofa yao ya kombe la dunia ambapo ili uone mechi zote 64 mubashara utahitaji ulipe kifurushi cha Compact ambacho ni shilingi 56,000.

Ndugu zetu, wazalendo wenzetu AzamTv huu ndiyo muda wenu wa kuibuka na kututangazia Watanzania kuwa mtaonesha kombe la dunia kwa bei nafuu.

AzamTv amkeni kutoka kwenye usingizi mzito, njooni mjichukulie alama 3 muhimu
Kambe la dunia Kuna machannel ya bure mengi tu kama Kuna machannel ya bure yanaonyesha ligi za uingereza,Hispania,France, ujerumani itakuwa Hilo Kombe la dunia huu mpira nahisi ubebari umezidi Tanzania tu,huko nchi za watu hawana time nao ni free tu
 
DStv jana wamezindua ofa yao ya kombe la dunia ambapo ili uone mechi zote 64 mubashara utahitaji ulipe kifurushi cha Compact ambacho ni shilingi 56,000.

Ndugu zetu, wazalendo wenzetu AzamTv huu ndiyo muda wenu wa kuibuka na kututangazia Watanzania kuwa mtaonesha kombe la dunia kwa bei nafuu.

AzamTv amkeni kutoka kwenye usingizi mzito, njooni mjichukulie alama 3 muhimu
Waacheni Dstv waongeze bei ya vifurushi wanastahili aisee... Nikituaga Tanzania Dstv ndio king'amuzi nachokielewa kwa upande wa ubora na ubunifu wa Contents zao (wenye akili ndio mtanielewa "Dstv 1080p Vs Azam 720p" ), Hao Azam TV ni ile NBC tu ndio inawapa credits ukiigeuza upande wa pili ni king'amuzi cha bei rahisi sana chenye contents mbovu sijapata kuona, 90% ya contents zao hazina ubunifu wala ubora coz most of them wamekopi kutoka Dstv. Dstv najiungaga mwaka mzima package ya Premium ni unyama sanaaaaaaaaaa
 
Almost bado mwezi mmoja lakini mpka leo hajaweka wazi kama ataonyesha wananipa mashaka
Sidhani kama wataonyesha labda baadhi ila sio zote
Mwenye haki ni Dstv kwa Sub-Saharan countries
Nimeangalia nchi nyingi za nje wanaonyesha kwa local channels ila Africa ni Dstv tu kasoro baadhi ya nchi

Ila sijui tukoje hata World Cup
Screenshot_20221016-181146_Chrome.jpg
 
Seriously? Billion 20-100 za kibongo?
Mwaka 2015 Azam ilikuwa na thamani ya zaidi ya 600 million US Dollars hiyo ni Trilion 1 na billion 400 kwa Tsh. miaka 7 imepita piga hesabu leo itakuwa na thamani kiasi gani...?
Unaandika as if Azam inadeal na TV pekee. Unafahamu kwamba Azam sio TV tu bali ni Multi-Brand company?... Bila shaka jibu ni hapana.
Azam hajaamua, bila shaka anaona uwekezaji ni mkubwa na faida kwake itakuwa ndogo au karibu na hasara.
Kusema hana PESA ya kulipia rights sio kweli.

Unnecessary risky investment is not worth it.
Azam TV sio SSB

Na wala haina hiyo thamani
 
Hapa kwenye matangazo tunazungumzia Azam Tv hatuzungumzii unga wala malori ya mizigo. Kwani hujui group of companies hizo kampuni chini ya mwavuli zinajiendeshaje. Yani unadhani Azam Pay wanachukua hela za mauzo ya unga, na Azam Marine wanachukua hela ya vifurushi vya Tv. Kwamba hujui tofauti ya SSB Group na vitoto vyake.

Sio kwamba Azam hajaamua. Azam hawezi, tatizo la watu ambao hamjawahi kuuza hata ukwaju mna mawazo ya ajabu.
Eti "....hajaamua bila shaka anaona uwekezaji wake ni mkubwa na faida kwake itakuwa ndogo...". Kumbe biashara huwa zinaendeshwaje??

Nyinyi ndio mnadhani Mo Dewji kawekeza Simba kisa anaipenda timu. Au Bakhresa anaonesha ligi kisa "ameamua", kisa anaipenda. Au unadhani wale Waarabu wamiliki wa Manchester City wanaweza taja hata jina la kocha. Kinachoangaliwa ni return, hii ni biashara sio nyege
Yaani mimi nasoma Economics na wewe unataka kunifundisha kitu basic kabisa kwamba main purpose of business ni return?
Ni maamuzi sababu bado uwezo wa kuwekeza kwenye hasara anao. Au unadhani mtu hawezi kuamua au hana uamuzi wa kuwekeza kwenye hasara? unachobisha ni nini hapa?

Naona unaleta ubishi na lugha za vijiweni baada kuandika neno "nyege" na kutoka nje ya mada.
Narudia na kusisitiza "Ni maamuzi" sababu "Uwezo wa kulipia anao."
kutegemea na aina ya company, hakuna written rules kwamba multi-brand company haiwezi kuchukua pesa kutoka brand nyingine sababu zinaoperate independently even elon musk anachukua pesa Tesla au SpaceX na kuwekeza kwenye companies zake nyingine.

Mimi siongelei uwezekano wa "kupata rights" bali naongelea uwezo wa "kuzinunua" upo na anao na anaweza kama akiamua. UMENIELEWA?
Narudia tena: Uwezo wa kuzinunua upo na anao ila hajaamua na sababu ya business margins. Na sio "Hana au Hawezi." Hivi unaelewa nikisema "Business Margins."...?

Hichi kitu nakirudia tangu mwanzo wa thread lakini watu mna vichwa vigumu zaidi ya matofali ya mawe. Itabidi niandike kama naongea na mtoto wa chekechea sababu una bichwa gumu lisiloelewa mambo mepesi na kugrasp simple ideology. kama hautoelewa na hapa itabidi nichukue ubao na chaki na mifano ya kitabu cha kiswahili darasa la tatu.

Kila kitu kipo wazi na hakuna cha kubisha hapa.
 
Azam TV sio SSB

Na wala haina hiyo thamani
Hii ni sawasawa na kusema Elon Musk sio SpaceX wala Tesla.
Nikisema Azam naongelea Bakhresa Group na ndio maana nikasema Multi-Brand Company inayomilikiwa na Bakhresa.
Na ndio inayo hiyo thamani, Jarida la Forbes linasema hivyo, hivyo kama unabisha basi kawabishie
Forbes.

Adios!
 
Azam ubavu huo bado. Kwa upande wa Ving'amuzi bado hana wateja wengi wa kurudishia faida. Miezi minne iliyopita ilitolewa takwimu ya ving'amuzi na idadi ya wateja Azam kaachwa mbali na Startimes. Dstv sio ligi yake. Wengi wanafikiri Azam anavyoonesha Ligi Kuu Bara basi atakuwa na wateja wengi, hapana ving'amuzi vyake vingi vimefungwa sehemu za biashara hasa Bar+Vibanda umiza. Matumizi ya nyumbani wengi wana DStv na Startimes kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Information, Habari na Teknolojia
Hilo mbona liko wazi kabisa.
 
Nina fta channels zangu kadhaa za SD,Hd, Uhd na 4k nimeshaziseti, nasubiria kuona hizo mechi buure!. Endeleleni kuona madishi makubwa ni ya kizamani! Hao Waholanzi na Wasouth wataendelea kula hela zenu tu.

Hata hivyo Azam Wana channels nyingi hd na uhd ambazo zitaonyesha huo mpira bure. Hasa zile za taifa. Kuanzia ZBC,KTN, Rodriguez,TBC, Joy Prime,UBC nk
 
Unajua Startimes ana operate nchi ngapi Afrika? Startimes sio Entity ya Tanzania tuu. na ana possibility ya kuonyesha kuliko azam
Ni kweli mkuu hata 2018 startimes alionyesha mechi zote lkn Azam hakuonyesha kabisa hata mechi moja
 
Hapa kwenye matangazo tunazungumzia Azam Tv hatuzungumzii unga wala malori ya mizigo. Kwani hujui group of companies hizo kampuni chini ya mwavuli zinajiendeshaje. Yani unadhani Azam Pay wanachukua hela za mauzo ya unga, na Azam Marine wanachukua hela ya vifurushi vya Tv. Kwamba hujui tofauti ya SSB Group na vitoto vyake.

Sio kwamba Azam hajaamua. Azam hawezi, tatizo la watu ambao hamjawahi kuuza hata ukwaju mna mawazo ya ajabu.
Eti "....hajaamua bila shaka anaona uwekezaji wake ni mkubwa na faida kwake itakuwa ndogo...". Kumbe biashara huwa zinaendeshwaje??

Nyinyi ndio mnadhani Mo Dewji kawekeza Simba kisa anaipenda timu. Au Bakhresa anaonesha ligi kisa "ameamua", kisa anaipenda. Au unadhani wale Waarabu wamiliki wa Manchester City wanaweza taja hata jina la kocha. Kinachoangaliwa ni return, hii ni biashara sio nyege
😂😂😂Kwamba sio nini?
 
DStv jana wamezindua ofa yao ya kombe la dunia ambapo ili uone mechi zote 64 mubashara utahitaji ulipe kifurushi cha Compact ambacho ni shilingi 56,000.

Ndugu zetu, wazalendo wenzetu AzamTv huu ndiyo muda wenu wa kuibuka na kututangazia Watanzania kuwa mtaonesha kombe la dunia kwa bei nafuu.

AzamTv amkeni kutoka kwenye usingizi mzito, njooni mjichukulie alama 3 muhimu
Azam inaipromote TBC
 
We ngoja muda ufike utashangaa mwenyewe.

Tungoje mahakama ya muda iamue ingawa sitegemei jipya kwao as usual. Japokuwa jambo hukawia, lakini hufika.

*Dstv kuonyesha mechi zote ni 100%
*Startimea kuonyesha zote ni 95%
*Azam kuonyesha mechi zote ni 5%

Azam magumashi mengi.
Acha uongo Mzee mbona 2018 tulichek Azam , 2014 tumechek Azam Sasa magumashi yapo wap
 
Back
Top Bottom