Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
- Thread starter
- #101
Shule ulienda kusomea ujinga?huyu hajApandisha ila amehamishia compact
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shule ulienda kusomea ujinga?huyu hajApandisha ila amehamishia compact
79,000 unapata na kifurushi cha Compact bure ambapo utaweza kuona WCHivi now gharama za kufunga Dstv sh ngapi ? Bora nianze maandalizi mapema tu.
Azam ubavu huo bado. Kwa upande wa Ving'amuzi bado hana wateja wengi wa kurudishia faida. Miezi minne iliyopita ilitolewa takwimu ya ving'amuzi na idadi ya wateja Azam kaachwa mbali na Startimes. Dstv sio ligi yake. Wengi wanafikiri Azam anavyoonesha Ligi Kuu Bara basi atakuwa na wateja wengi, hapana ving'amuzi vyake vingi vimefungwa sehemu za biashara hasa Bar+Vibanda umiza. Matumizi ya nyumbani wengi wana DStv na Startimes kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Information, Habari na TeknolojiaSeriously? Billion 20-100 za kibongo?
Mwaka 2015 Azam ilikuwa na thamani ya zaidi ya 600 million US Dollars hiyo ni Trilion 1 na billion 400 kwa Tsh. miaka 7 imepita piga hesabu leo itakuwa na thamani kiasi gani...?
Unaandika as if Azam inadeal na TV pekee. Unafahamu kwamba Azam sio TV tu bali ni Multi-Brand company?... Bila shaka jibu ni hapana.
Azam hajaamua, bila shaka anaona uwekezaji ni mkubwa na faida kwake itakuwa ndogo au karibu na hasara.
Kusema hana PESA ya kulipia rights sio kweli.
Unnecessary risky investment is not worth it.
CCM inanguvu mpaka kwenye biashara za mabeberu eeeh?Mwisho wa siku serikali itaingilia kati na watanzania watashuhudia world cup buree kupitia free to air channels.
Kama huamini, wewe subiri uone nguvu ya wanasiasa.
Kambe la dunia Kuna machannel ya bure mengi tu kama Kuna machannel ya bure yanaonyesha ligi za uingereza,Hispania,France, ujerumani itakuwa Hilo Kombe la dunia huu mpira nahisi ubebari umezidi Tanzania tu,huko nchi za watu hawana time nao ni free tuDStv jana wamezindua ofa yao ya kombe la dunia ambapo ili uone mechi zote 64 mubashara utahitaji ulipe kifurushi cha Compact ambacho ni shilingi 56,000.
Ndugu zetu, wazalendo wenzetu AzamTv huu ndiyo muda wenu wa kuibuka na kututangazia Watanzania kuwa mtaonesha kombe la dunia kwa bei nafuu.
AzamTv amkeni kutoka kwenye usingizi mzito, njooni mjichukulie alama 3 muhimu
Waacheni Dstv waongeze bei ya vifurushi wanastahili aisee... Nikituaga Tanzania Dstv ndio king'amuzi nachokielewa kwa upande wa ubora na ubunifu wa Contents zao (wenye akili ndio mtanielewa "Dstv 1080p Vs Azam 720p" ), Hao Azam TV ni ile NBC tu ndio inawapa credits ukiigeuza upande wa pili ni king'amuzi cha bei rahisi sana chenye contents mbovu sijapata kuona, 90% ya contents zao hazina ubunifu wala ubora coz most of them wamekopi kutoka Dstv. Dstv najiungaga mwaka mzima package ya Premium ni unyama sanaaaaaaaaaaDStv jana wamezindua ofa yao ya kombe la dunia ambapo ili uone mechi zote 64 mubashara utahitaji ulipe kifurushi cha Compact ambacho ni shilingi 56,000.
Ndugu zetu, wazalendo wenzetu AzamTv huu ndiyo muda wenu wa kuibuka na kututangazia Watanzania kuwa mtaonesha kombe la dunia kwa bei nafuu.
AzamTv amkeni kutoka kwenye usingizi mzito, njooni mjichukulie alama 3 muhimu
Sidhani kama wataonyesha labda baadhi ila sio zoteAlmost bado mwezi mmoja lakini mpka leo hajaweka wazi kama ataonyesha wananipa mashaka
sio suala la utaalam bali ndio ukweli wenyewe huo,hayo mambo yana utaratibu wake,sio rahisi ki hivyo.Basi mwenyewe unajiona mtaalam...wahed mmoja
Azam TV sio SSBSeriously? Billion 20-100 za kibongo?
Mwaka 2015 Azam ilikuwa na thamani ya zaidi ya 600 million US Dollars hiyo ni Trilion 1 na billion 400 kwa Tsh. miaka 7 imepita piga hesabu leo itakuwa na thamani kiasi gani...?
Unaandika as if Azam inadeal na TV pekee. Unafahamu kwamba Azam sio TV tu bali ni Multi-Brand company?... Bila shaka jibu ni hapana.
Azam hajaamua, bila shaka anaona uwekezaji ni mkubwa na faida kwake itakuwa ndogo au karibu na hasara.
Kusema hana PESA ya kulipia rights sio kweli.
Unnecessary risky investment is not worth it.
TBC wataonesha ??Tbccm wao wataonyesha 32 kwa bure....Azam hana hela hio
Yaani mimi nasoma Economics na wewe unataka kunifundisha kitu basic kabisa kwamba main purpose of business ni return?Hapa kwenye matangazo tunazungumzia Azam Tv hatuzungumzii unga wala malori ya mizigo. Kwani hujui group of companies hizo kampuni chini ya mwavuli zinajiendeshaje. Yani unadhani Azam Pay wanachukua hela za mauzo ya unga, na Azam Marine wanachukua hela ya vifurushi vya Tv. Kwamba hujui tofauti ya SSB Group na vitoto vyake.
Sio kwamba Azam hajaamua. Azam hawezi, tatizo la watu ambao hamjawahi kuuza hata ukwaju mna mawazo ya ajabu.
Eti "....hajaamua bila shaka anaona uwekezaji wake ni mkubwa na faida kwake itakuwa ndogo...". Kumbe biashara huwa zinaendeshwaje??
Nyinyi ndio mnadhani Mo Dewji kawekeza Simba kisa anaipenda timu. Au Bakhresa anaonesha ligi kisa "ameamua", kisa anaipenda. Au unadhani wale Waarabu wamiliki wa Manchester City wanaweza taja hata jina la kocha. Kinachoangaliwa ni return, hii ni biashara sio nyege
Hii ni sawasawa na kusema Elon Musk sio SpaceX wala Tesla.Azam TV sio SSB
Na wala haina hiyo thamani
Hilo mbona liko wazi kabisa.Azam ubavu huo bado. Kwa upande wa Ving'amuzi bado hana wateja wengi wa kurudishia faida. Miezi minne iliyopita ilitolewa takwimu ya ving'amuzi na idadi ya wateja Azam kaachwa mbali na Startimes. Dstv sio ligi yake. Wengi wanafikiri Azam anavyoonesha Ligi Kuu Bara basi atakuwa na wateja wengi, hapana ving'amuzi vyake vingi vimefungwa sehemu za biashara hasa Bar+Vibanda umiza. Matumizi ya nyumbani wengi wana DStv na Startimes kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Information, Habari na Teknolojia
Ni kweli mkuu hata 2018 startimes alionyesha mechi zote lkn Azam hakuonyesha kabisa hata mechi mojaUnajua Startimes ana operate nchi ngapi Afrika? Startimes sio Entity ya Tanzania tuu. na ana possibility ya kuonyesha kuliko azam
😂😂😂Kwamba sio nini?Hapa kwenye matangazo tunazungumzia Azam Tv hatuzungumzii unga wala malori ya mizigo. Kwani hujui group of companies hizo kampuni chini ya mwavuli zinajiendeshaje. Yani unadhani Azam Pay wanachukua hela za mauzo ya unga, na Azam Marine wanachukua hela ya vifurushi vya Tv. Kwamba hujui tofauti ya SSB Group na vitoto vyake.
Sio kwamba Azam hajaamua. Azam hawezi, tatizo la watu ambao hamjawahi kuuza hata ukwaju mna mawazo ya ajabu.
Eti "....hajaamua bila shaka anaona uwekezaji wake ni mkubwa na faida kwake itakuwa ndogo...". Kumbe biashara huwa zinaendeshwaje??
Nyinyi ndio mnadhani Mo Dewji kawekeza Simba kisa anaipenda timu. Au Bakhresa anaonesha ligi kisa "ameamua", kisa anaipenda. Au unadhani wale Waarabu wamiliki wa Manchester City wanaweza taja hata jina la kocha. Kinachoangaliwa ni return, hii ni biashara sio nyege
Azam inaipromote TBCDStv jana wamezindua ofa yao ya kombe la dunia ambapo ili uone mechi zote 64 mubashara utahitaji ulipe kifurushi cha Compact ambacho ni shilingi 56,000.
Ndugu zetu, wazalendo wenzetu AzamTv huu ndiyo muda wenu wa kuibuka na kututangazia Watanzania kuwa mtaonesha kombe la dunia kwa bei nafuu.
AzamTv amkeni kutoka kwenye usingizi mzito, njooni mjichukulie alama 3 muhimu
Acha uongo Mzee mbona 2018 tulichek Azam , 2014 tumechek Azam Sasa magumashi yapo wapWe ngoja muda ufike utashangaa mwenyewe.
Tungoje mahakama ya muda iamue ingawa sitegemei jipya kwao as usual. Japokuwa jambo hukawia, lakini hufika.
*Dstv kuonyesha mechi zote ni 100%
*Startimea kuonyesha zote ni 95%
*Azam kuonyesha mechi zote ni 5%
Azam magumashi mengi.
79000 unapata na kifurushi cha compat mwezi mzimaHivi now gharama za kufunga Dstv sh ngapi ? Bora nianze maandalizi mapema tu.