Baada ya hizi ajira za TAMISEMI, Wanaume wenzangu mmejiandaaje na mapenzi ya Bluetooth?

Kuna jamaa yupo Dar mke kapangiwa Kigoma na baharia anaunga unga tu mtaani hapo ndo basi tena hakuna ndoa.
 
Mfate mwenza wako alikopangiwa ajira, kambi popote
 
Hahahahahaha labda kaseja hayupo golini
 
Nakumbuka wayaback ajira mpya zilipokuja.

Tuliowatangulia kidogo tukasema yes hizi ndio chance za kupata mke.

Aisee wale mabinti sijui waliambiana maana tukaanza kusikia wanaliwa na wakuu wa idara mbali mbali.

Huyu analiwa na afisa mipango ,yule analiwa na afisa elimu.

Huyu bwana ake ni afisa fulani kampata juzi tu tena jamaa alienda kwa mkuu wake idara akisema "huyu usimweke mbali mweke hapa hapa karibu" [emoji1787][emoji2]

Miaka 6-8 ikapita wootr wamekuwa single mamaz

Waliolewa hata watatu sijui kama wanafika.

Yule ndoa iliishia njia,huyu kapigwa mimba na bodaboda kahamia mtaa wa mbali kwa aibu.

Walitukaa tukagrow kiuchumi na kielimu.

Sasa tumevuta mabinti fresh kabisa from school miles chache down.
 
Pole kwa yaliyokukuta ungeoa mama wa nyumbani umfungulie kiofisi hata M,pesa yasingekukuta tatizo vijana wa sasa mnapenda kitonga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…