johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nilihisi tu, makonda au Abdallaah BulemboBaada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi
Taarifa zinazorindima katika magrupu ya wanaccm na UVCCM ikiwemo ni kwamba nafasi hii ya Katibu Uenezi na itikadi unaenda kutwaliwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda
Nawasilisha
Pendekezo zuri. You never know mkuu. Anaweza kuwa hata dada yako.Ni wakati sasa wanawake wakapewa nafasi muhimu katika sekretarieti ya CCM, hivyo napendekeza nafasi hiyo safari hii iwaangalie zaidi dada zetu.
Kama vipi yule mwenezi wa CCM Zanzibar apandishwe cheo awe wa taifa ama DC Jokate aliyewahi kuwa Katibu wa uenezi na hamasa UVCCM atatosha kuvaa viatu vya Polepole.
Maendeleo hayana vyama!
Makonda anapewa uenezii subiri uoneeNi wakati sasa wanawake wakapewa nafasi muhimu katika sekretarieti ya CCM, hivyo napendekeza nafasi hiyo safari hii iwaangalie zaidi dada zetu.
Kama vipi yule mwenezi wa CCM Zanzibar apandishwe cheo awe wa taifa ama DC Jokate aliyewahi kuwa Katibu wa uenezi na hamasa UVCCM atatosha kuvaa viatu vya Polepole.
Maendeleo hayana vyama!
Mbali na mapungufu yake, jamaa uongozi anauwezasijui kwanini huwa namkubali sana makonda paul..
naamini ni moja ya silaha hatari sana zilizo sub wakati huu...
Sauti ya zege?!Ni wakati sasa wanawake wakapewa nafasi muhimu katika sekretarieti ya CCM, hivyo napendekeza nafasi hiyo safari hii iwaangalie zaidi dada zetu.
Kama vipi yule mwenezi wa CCM Zanzibar apandishwe cheo awe wa taifa ama DC Jokate aliyewahi kuwa Katibu wa uenezi na hamasa UVCCM atatosha kuvaa viatu vya Polepole.
Maendeleo hayana vyama!
Labda hata the Baptist mwenyewe ni mwanamke!Pendekezo zuri. You never know mkuu. Anaweza kuwa hata dada yako.
Polepole huenda akachuka nafasi ya Dr. Mwakyembe katika baraza la mawaziri na kuwa waziri aliyekaribu na wasanii wa bongo fleva, ili apate nafasi nzuri ya kuzurura nao kwa ukaribu ili kuongeza juhudi za kusifu na kuabudu.
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
CCM hamna mtu smart.Sifikiri kama CCM watataka kuweka mtu ambaye sio smart. HP ni smart hata kama wengine hatumpendi. PM sioni kama ni smart kutosha kuvaa viatu vya HP. Maoni yangu tu.
Huyo kwani msukuma?Kafulila anafaa kuziba hilo pengo