Team Lowassa ndio wakati wao Bashe amewawakilisha vizuri sana!Team Lowassa huyu. Magufuli bado ana nongwa.
Ni mmachame!Kwani nae ni msukuma?tuanzie apo kwanza.
Bwashee huwezi ukampa mtu nafasi nyeti namna hii huku ukijua kabisa ana njaa. Kama mnataka kukidhalilisha chama, mpeni muone.WanaJf ni lazima tupendane.
Kwa namna mkuu Pascal Mayalla anavyoipigania CCM na kwa taaluma yake ya uandishi wa habari na sheria, ninamuona kama mtu sahihi katika nafasi iliyoachwa wazi na Polepole.
Wanaccm wenye mapenzi mema maoni yenu Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Pasco namuona kama Mashinji tu!WanaJf ni lazima tupendane.
Kwa namna mkuu Pascal Mayalla anavyoipigania CCM na kwa taaluma yake ya uandishi wa habari na sheria, ninamuona kama mtu sahihi katika nafasi iliyoachwa wazi na Polepole.
Wanaccm wenye mapenzi mema maoni yenu
Hjyo atazidi kuwapeleka chaka.WanaJf ni lazima tupendane.