Mbona una hasira sana? Kwani wewe upo India?Utatawaliwa wewe na Utashikishwa adabu wewe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona una hasira sana? Kwani wewe upo India?Utatawaliwa wewe na Utashikishwa adabu wewe...
Cha kwako cha kupoteza uchaguziTuliza kidonda kibichi
Wakuu ila ukweli usemwe kati ya viongozi wenye uthubutu katika utendaji Makonda alifanya kwa Maslahi ya taifa na kwa weledi uliotukuka hakutaka kujuana katika kazi kipindi chote cha uongozi wake aliisimamia kazi yake ipasavyo Dar ilisikika kila mahali ,utendaji wake huu wa kazi ndio uliomfanya akawa target mpaka Ughaibuni hakika alisimamia vizuri kazi yake na katika kipindi hiki Tanzania inahitaji watu wa aina kama yake, sijui ni kwanini serikali mpaka sasa imemuacha huyu Mtu binafsi napenda kumuona Paul Makonda akiwa miongoni mwa Team ya 2025
Napendekeza miongoni mean hawa ,Jonithebaptist,Mayala,kawe almin,stroke,cocochanell au magonjwa mtambuka wata mudu.Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi.
Taarifa zinazorindima katika magrupu ya wanaccm na UVCCM ikiwemo ni kwamba nafasi hii ya Katibu Uenezi na itikadi unaenda kutwaliwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda.
Nawasilisha
heheheheeeee . . . .mpaka raha yaani adi nimeshindwa kukomentiDr. Hassan Abbas, Dr. Kijazi(wa Tanapa na naibu katibu mkuu maliasili) wana kofia moja.
Tumetelekeza na tunasonga mbereeeeee.
CCM oyeeeeeeee
ahahahaaaaUenezi wa nini wakati chama kinategemea vyombo vya dola kukaa madarakani?
wacha kunichanganya na vitu vya kijingaNapendekeza miongoni mean hawa ,Jonithebaptist,Mayala,kawe almin,stroke,cocochanell au magonjwa mtambuka wata mudu.