Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

Wakuu ila ukweli usemwe kati ya viongozi wenye uthubutu katika utendaji Makonda alifanya kwa Maslahi ya taifa na kwa weledi uliotukuka hakutaka kujuana katika kazi kipindi chote cha uongozi wake aliisimamia kazi yake ipasavyo Dar ilisikika kila mahali ,utendaji wake huu wa kazi ndio uliomfanya akawa target mpaka Ughaibuni hakika alisimamia vizuri kazi yake na katika kipindi hiki Tanzania inahitaji watu wa aina kama yake, sijui ni kwanini serikali mpaka sasa imemuacha huyu Mtu binafsi napenda kumuona Paul Makonda akiwa miongoni mwa Team ya 2025
 
Upambe kipaji
 
Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi.

Taarifa zinazorindima katika magrupu ya wanaccm na UVCCM ikiwemo ni kwamba nafasi hii ya Katibu Uenezi na itikadi unaenda kutwaliwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda.

Nawasilisha
Napendekeza miongoni mean hawa ,Jonithebaptist,Mayala,kawe almin,stroke,cocochanell au magonjwa mtambuka wata mudu.
 
Wengi wao huko ccm sasa hivi wako busy kusagiana kunguni kwenye hiyo nafasi ila kitaeleweka tu mbona
 
Back
Top Bottom