Baada ya jina lake kutoka kwenye Mkeka wa Afya ataka nisubiri miaka 5 ndio niweze kumuoa

Baada ya jina lake kutoka kwenye Mkeka wa Afya ataka nisubiri miaka 5 ndio niweze kumuoa

Hiyo n kawaida ya maisha ya chuo na ndio yalinibadilisha from nice guy to hivi nilivyo sasa, waaminifu ni wachache mno.

Kuna siku dada yangu aliniambia yote kuwa huyu akifika chuo si wako, nilibisha Sana nikamuona sister ananchanganyia mafile ila yalivyonikuta nilinyooka sister akawa ananicheka tu 😂
Alishayaona mengi...hahaha duuh
 
_JAMAA ATAKAYEMKUTA

"madam leo niko bored tutoke bas out"

"madam sijui kupika njoo bas unisaidie "

"madam leo sijakuona kazini naskia unaumwa,ntapita kwako kukusalimia"

"madam twende gym"

"madam kuna zawadi yako hope utaipenda"

_WEWE HAPO

baby usiku mwema naomba usinicheat huko ulipo,nakupenda sana MWAAAAA

LIFE__

hahahahahaaa
 
Dah mkuu ndio unaniondoa relini kabisa
 
Back
Top Bottom