Baada ya jina lake kutoka kwenye Mkeka wa Afya ataka nisubiri miaka 5 ndio niweze kumuoa

Baada ya jina lake kutoka kwenye Mkeka wa Afya ataka nisubiri miaka 5 ndio niweze kumuoa

Ila mnatuumiza sisi tulioweka malengo kwenu .ile hali imeniathiri miaka kibao...nilimpenda toka ndani ya moyo wangu....mpaka kwao walishanijuaa ila niliambulia manyoya tu....Popote ulipo A Mungu anakuona...me nakuombea maisha mema tu
Pole sana mkuu..achia moyo wako uendelee na maisha..huko uliko ndiko Mungu amekupangia kuwa
 
imani gani hizo anazokuomba umfundishe?
Huyu binti alikuwa na sifa moja sio nzuri jpo kwa upande wake imemsaidia kifupi ni binti ambaye akili yake muda wote inawaza pesa na mapenzi kwke yanakuja km ziada tu so toka nianze kuwa na mahusiano nae nilitumia muda mwingi kumuelekeza namna mwanamke anavyotakiwa kubehave kw mwanaume na hapo hpo ithiathiri utafutaji wake na mafunzo haya nilikuwa nampa kutokana na misingi ya Imani zetu
 
Back
Top Bottom