Baada ya jina lake kutoka kwenye Mkeka wa Afya ataka nisubiri miaka 5 ndio niweze kumuoa

Baada ya jina lake kutoka kwenye Mkeka wa Afya ataka nisubiri miaka 5 ndio niweze kumuoa

Yani chuo ni another life aisee...kuna wadada tumeanza first yr hawavai suruali yani ile skirt ndefu..mwaka wa pili duuu duu...sio wale wa sitimbi tena..na mimba juu wakazaa tukamaliza nao mwaka 3 vzr...so chuo mhhh probability ya kuwa mchumba yuko chuo umsubiri ni ndogo..darasa letu liliongoza kwa kuoana baada ya kumaliza..
We utakuwa mwalimu , haya madarasa ya course za walimu yanaongoza Kwa ulimbukeni chuoni na mimba... Wanaoana balaa chuo mpak mtaani
 
Sometime inabidi tukubaliane tu na uhalisia maana hpa tunazungumzia maisha ya mtu, binafi km ningekuwa na kipato kikubwa ningembakisha
 
Sasa boss kwenye sms umemjibu sawa, ila tatizo lake unalileta huku na majibu tofauti. Mwambie wazi tu mahusiano yamekufa, asije akatubania watu wa kagera akidhani ana mchumba..
images (19).jpeg
 
Back
Top Bottom