Baada ya jina lake kutoka kwenye Mkeka wa Afya ataka nisubiri miaka 5 ndio niweze kumuoa

Baada ya jina lake kutoka kwenye Mkeka wa Afya ataka nisubiri miaka 5 ndio niweze kumuoa

Usidhubutu kufanya huo ujinga , fimbo ya mbali haiui nyoka mzee wangu. Utakuja kuli kilio cha mbwa koko , kwanza akienda mbali baada ya mda mawasiliano yatapungua na mawasiliano yakipungua mapenz yanapungua pia. Atakutana na bora zaidi yako, anaemsemesha vizuri, kumjali ..baada ya hapo unategemea nn?
Nimekupata mkuu
 
Hata mm nilivyoenda chuo ndo ikawa byebye nikapata mume huko huko chuo...
So hapo hakuna kitu...
Screenshot_20230607-150931.jpg
 
Yani chuo ni another life aisee...kuna wadada tumeanza first yr hawavai suruali yani ile skirt ndefu..mwaka wa pili duuu duu...sio wale wa sitimbi tena..na mimba juu wakazaa tukamaliza nao mwaka 3 vzr...so chuo mhhh probability ya kuwa mchumba yuko chuo umsubiri ni ndogo..darasa letu liliongoza kwa kuoana baada ya kumaliza..
Kuoa dem wa chuo kwangu itakua kipengele aisee kwa jinsi tulivokua tunawaoa wikiwiki na weekend hapana aisee.
Wadada wa chuho sio poa
 
Back
Top Bottom