Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
- Thread starter
- #161
Nimekupata mkuuUsidhubutu kufanya huo ujinga , fimbo ya mbali haiui nyoka mzee wangu. Utakuja kuli kilio cha mbwa koko , kwanza akienda mbali baada ya mda mawasiliano yatapungua na mawasiliano yakipungua mapenz yanapungua pia. Atakutana na bora zaidi yako, anaemsemesha vizuri, kumjali ..baada ya hapo unategemea nn?