Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
- Thread starter
-
- #161
Nimekupata mkuuUsidhubutu kufanya huo ujinga , fimbo ya mbali haiui nyoka mzee wangu. Utakuja kuli kilio cha mbwa koko , kwanza akienda mbali baada ya mda mawasiliano yatapungua na mawasiliano yakipungua mapenz yanapungua pia. Atakutana na bora zaidi yako, anaemsemesha vizuri, kumjali ..baada ya hapo unategemea nn?
SahihiKaka tafuta mwingine , hawa wasom pasua kichwa sana apo tu ndo ushaanza kuona makucha
DahMboga mpya ya mganga mfawidhi hiyo[emoji23]
Punguza sauti na ukali wa maneno basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sema wanawake kuolewa na mwana ambaye yupo karibu nae ni rahisi sanaMboga mpya ya mganga mfawidhi hiyo[emoji23]
Wa MakungwiKwhyo mi nilikuwa kungwi sio!
Sasa miaka mitano ndugu yangu ..amekupanga na umepangika..Huyu wakwngu hajakataa kuolewa alikuwa tayar ila baada ya hii taarifa imenifnya nirudi nyuma
Eti msg ya kukujaza🙆🙆🙆Mpka kutuma msg ya kunijaza hv nilimuambia hili na kumpa go ahead ya yy kundelea na maisha mengne
Nimecheka🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bwana alitoa na bwana ametwaa!
Imeisha hio!!!
Kwa kweli imeisha na hiyo kada aliyoenda fanyia kazi ndo kabisaaaNimecheka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alitaka umpe ajira Sasa kashapataMpango hapa ni kuleta tu maombi ya kutafuta mke mwingne humu ndani.
Habari ya kusubiri miaka 5 na mtu katupiwa Kagera huko ni uongo.
View attachment 2648377
Hata mm nilivyoenda chuo ndo ikawa byebye nikapata mume huko huko chuo...
So hapo hakuna kitu...
[emoji2][emoji2]Bwana alitoa na bwana ametwaa!
Imeisha hio!!!
Ni kweli kabisaNi rahisi kwasasa ila Mambo hubadilika kadri mda unavyozidi yoyoma. Na si ajabu akaanza kubadilika yeye.
[emoji122][emoji122][emoji122]Uko sahihi mkuu si wakuchukulia dhamana hawa
Kuoa dem wa chuo kwangu itakua kipengele aisee kwa jinsi tulivokua tunawaoa wikiwiki na weekend hapana aisee.Yani chuo ni another life aisee...kuna wadada tumeanza first yr hawavai suruali yani ile skirt ndefu..mwaka wa pili duuu duu...sio wale wa sitimbi tena..na mimba juu wakazaa tukamaliza nao mwaka 3 vzr...so chuo mhhh probability ya kuwa mchumba yuko chuo umsubiri ni ndogo..darasa letu liliongoza kwa kuoana baada ya kumaliza..
Sasa utauoa wa wapi?.aisie soma?.au umemkuta kazini?.si yaleyale tuu..kikubwa unakua na demu wako chuo huyo huyo mnaanza maishaKuoa dem wa chuo kwangu itakua kipengele aisee kwa jinsi tulivokua tunawaoa wikiwiki na weekend hapana aisee.
Wadada wa chuho sio poa
Alieshia form 4 sio chuo, hao wana maex wengi sana.Sasa utauoa wa wapi?.aisie soma?.au umemkuta kazini?.si yaleyale tuu..kikubwa unakua na demu wako chuo huyo huyo mnaanza maisha
Alieshia form 4 sio chuo, hao wana maex wengi sana.
Ogopa sana kuoa manzi aliepitia mahusiano zaidi ya 2.
Fresh from school mkuu sio vigagula vilivyokaa mtaani zaidi ya mwaka mzima.Na wa 4m4 wamepitaa na mtaa mzima maana hawana kazi za kufanya wala stress za coursework so wanabadilishaa vidudu tu