Baada ya jina lake kutoka kwenye Mkeka wa Afya ataka nisubiri miaka 5 ndio niweze kumuoa

Hata wangu alivyoenda chuo wiki ya pili tu nikapigwa na kitu kizito.
Yani chuo ni another life aisee...kuna wadada tumeanza first yr hawavai suruali yani ile skirt ndefu..mwaka wa pili duuu duu...sio wale wa sitimbi tena..na mimba juu wakazaa tukamaliza nao mwaka 3 vzr...so chuo mhhh probability ya kuwa mchumba yuko chuo umsubiri ni ndogo..darasa letu liliongoza kwa kuoana baada ya kumaliza..
 
Hiyo n kawaida ya maisha ya chuo na ndio yalinibadilisha from nice guy to hivi nilivyo sasa, waaminifu ni wachache mno.

Kuna siku dada yangu aliniambia yote kuwa huyu akifika chuo si wako, nilibisha Sana nikamuona sister ananchanganyia mafile ila yalivyonikuta nilinyooka sister akawa ananicheka tu 😂
 
Back
Top Bottom