GE2025 Baada ya kujificha ficha sana hatimaye Yericko Nyerere ajiunga CHAUMMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Lioneni hili bwege, chadema imeshakosa sifa ya kuwa chama cha siasa kinafutwa very soonwe
Hii nchi watu wapole Sana Hawa watu waliotuuza kwa muda mrefu walitakiwa kufanyiwa umafia mkubwa sana
We ngedere unaelewa ht maana ya umafia?
 
We na wenzako mna siasa za kitoto za kishamba, sasa mibwege km nyie kwl mshinde uchaguzi? Kwa akili hizo? Unaweza kumlazimisha mtu kuamini asichoamini? We jinga hujui ht maana ya siasa, halafu huna ht na ujinga wako huo unashinda na kukesha humu.
Sasa kinachokuliza nini?
 
Ndo maana nasema Nyumbu wa Chadema hamna tofauti na majizi ya Ccm , mkishika madaraka na nyie mtakua madikteta uchwara, watu wametumia haki yao kikatiba kuhama chama we unawaita wasaliti ulitaka wabaki hadi kifo kwani Chadema ni mzazi wao?
 
Kesho kubwa la maadui Freeman Mbowe ndiyo anapokelewa na kupewa bendera kuipeperusha kiti cha Urais.
Kama si kweli vile. Ila watu wana tabia ya kuona mpenyo wa kurudisha mali au kuongeza, nitamalizia sentensi yangu hiyo kesho kama usemi wako utatimia, kwa sasa nahifadhi maneno
 
Huna akili kwelikweli, yaani suala la mtu kuhama chama tena waziwazi unaita usaliti tena unamshirikisha Mungu eti atawaadhibu! Yaani Mungu amuadhibu mtu kwa kujiunga na chama halali cha siasa ili kufanya siasa halali.

Nchi hii wapumbavu wengi sana.
Mungu hajawahi kuadhibu mtu, anampa stahili zake kutokana na mambo yake
 
Ameambatana na James Mbowe

Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
Ni dhambi kukatili upendo wa nafsi yako,hongereni sana,hata lowassa kuna wakati alihama CCM,pia hata wasira kuna wakati alihamia NCCR MAGEUZI,NA LEO NI KADA MKUBWA NDANI YA CCM,
#KUHAMA KUELEKEA PENYE UTASHI WAKO KWA WAKATI FULANI SI DHAMBI NA KUHESHIMIWE.
 
Mwamba yupi?. Aliyestaafishwa na Lissu siasa?. Lissu kiboko yake.
Huyo huyo na atagombea Chauma, Chadema itakufa yeye ataishia jela Hadi kesi iishe sio Leo.

Akitoka anakutana na manyoya tuu haelewi aanzie na kuishia wapi.

Chadema imemfia.
 
Mbowe namkubali sana yule ni kiongozi haswa yeye huamini kile anachoona yeye kinafaa huwa hana mihemko

Ukimualika uwe CCM au CHAUMA yeye atakuja kama imani yake inamtuma hivyo

Haangalii wafuasi wake watasema nini au ku react vipi

Uongozi ni imani

Amehama CHADEMA baada ya kupigwa Chini kwenye uchaguzi na Lissu, angeshinda asingehama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ