Baada ya kulipa Mahari kwao Ndipo nimegundua ana Majini

Majini Wana ndugu zao kaka hata humu utawaona tu.
 
Hutaki kumbato majini wewe???

Endelea nae tu uonje vya ulimwenguni na kuzimu.

Omba Mungu liwe jini jike tu, kama jini dume litakuzagamua wewe🀣🀣.
Akipandisha anakupanda na wewe🀣
 
end of thread.

jibu la swali lake limepatikana kazi kwake
 
kwanza wewe ni mjinga tu kabla ya kwenda kwao direct ulutakiwa ufanye ujasusi yakinifu kupitia wamama na wazee wanahoijua hiyo familia na binti specifically.

Pili ndoa ya bomani kama mwanamke ni muislam ni ngumu kumuoa labda kama wewe ndie muislam na mwanamke ni mkristo.
 
Tujaribu kutoa michango na ushauri ambao ni constructive kwenye matatizo ya watu, lugha zisizofaa na kejeli sio uungwana. Nimeleta changamoto yangu ili nipate alternative solutions zakuchukua huku nikiongezea na solutions zangu. Niwasihi tu ndugu zangu
 
Ungetoa mchango bila kunitukana usingepungukiwa na kitu
 
Kwani Ukiwa unakula Inshu...hilo jini lenyewe huwa linasemaje mkuu?...

Pengine halijafurahishwa na wewe kutaka kumchukua mazima mtu wake!

Kaa na hilo jini vizuri myajenge mkuu...hakuna namna...

umeingilia penzi la watu!
 
Huyo ni chaguo lakoooo
 
Mpeleke kanisani kwa mchungaji katunzi mawneo ya mbagala huko Cag church aisee majini yote yataondoka hapo utaishi naw kwa amani nilifanya hv mwenzio kwa mdada kama huyo. Ila sio.kila mahala nasisitiza kwa mchungaji katunzi cag church.
 
Mara siku majini yameamka hayataki kiti apigwe chuma mboga badala yake ubong’oke wewe ndo utaelewa 😹😹😹
Ilishawahi kunitokea znz, siku hiyo Nimetoka zangu home mida ya saa 2 usiku naenda zangu kula nyama choma na beer

Ile kutoka tu getini upande wa pili navuka nikamuona demu mkali haswaa, nikampa hi na nikamuuliza unaenda wapi? Akaniambia naenda kutafuta kula nikamwambia twende home basi ukale.

Pale niliko kuwa naishi nilikuwa na Ndugu yangu ambaye alikuwa ni Afisa Mkubwa na ile nyumba ilikuwa na ulinzi mkali lakini wale Maaskari walikuwa ni Wanangu sana na tulikuwa na House Boy tu.

Kufika ndani na yule msichana kwanza alikuwa ananunukia na alikuwa Chotara na sijui genye gani zilinikuta mpaka nikaenda naye ndani.

Fika ndani nikampakulia Wali na maini rosti na juice ya kushushia. Na ndugu yangu nilikuwa nakaa kwake alikuwa ni ofisa mkubwa sana wakati mwingine alikuwa ni mshauri wa Serikali upande wa mambo ya uchumi na hakuwa mtu wa kuishi sana pale nyumbani.

Baada ya yule msichana kuumaliza kula basi genye zikanipanda kiwango cha SGR nikamuita chumbani akaja nikaanza kumchojoa. Nilimtoa baibui lake akawa wamebaki na bra nikamchoa skin jeans na hapo genye zipo juu ile mbaya.

La haula ile namchojoa bra aisee alitoa Sauti ya kiume πŸ‘ΉπŸ‘Ή NIACHE NAKWAMBIA. Aisee nilitetemeka mnoo πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘ mpaka mkojo ukanitoka. Baada ya pale akaanza kupiga kichwa ukuta mpaka vioo vya madirisha vikawa vinatikisika. Nilikuwa naogopa mnoo πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘

Kajigonga ukutani kwa muda mrefu na Mimi hapo nimelowa jasho mwili mzima.

...........

Oi Lamomy itaendelea.....
 
😹😹😹 Em wait… kabla hujaendelea nipe namba za huyo ndugu yako Afisa mkubwa na mshauri wa mambo ya uchumi serikalini 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…