Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
end of thread.Kwa maelezo yako, inaonekana binti tayari alishaingia kwenye ndoa na majini hili ni jambo ambalo lipo sana hasa kwa akina dada lakini hata akina kaka. Hayo hapo ni aina ya majini wanaita jini mahaba.
Kwa hivyo kuna mkataba wa ndoa tayari kati ya binti na jini hilo mahaba uliofanywa kwa binti kujua anafanya nini au bila kujua. Ndoa hiyo lazima ivunjwe kabla ya wewe kuweza kumwoa binti huyo. Bila hivyo hutaweza kumwoa na hata mkifunga ndoa yenu hiyo Mahakamani ni bure tu, mtaishia kupata matatizo ya kila aina, mara ugonjwa, mara mimba kutoka, mara ugomvi na mwisho lazima ndoa itavunjika.
Inategemea imani yako lakini kwa vyovyote shughulika na kuvunja hiyo ndoa na ndipo uweze kufunga ya kwako. Ipo kazi kwani majini mahaba yana wivu mkubwa.
Pia chunga sana usiporomoshwe kiuchumi kwani ndio njia yao ya kupigana vita na wanaume wanaotaka kuwapokonya wake zao, watashambulia uchumi wako ukose hata nauli ya kwenda kanisani au msikitini, kuwa makini sana. Kama huyawezi hayo achana na azimio lako.
kwanza wewe ni mjinga tu kabla ya kwenda kwao direct ulutakiwa ufanye ujasusi yakinifu kupitia wamama na wazee wanahoijua hiyo familia na binti specifically.Wakuu kwema?
Ipo hivi, nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani Kwa muda wa miaka mitatu.
Mwanzoni mwa mwaka huu nikasema sasa ni muda muafaka wa Mimi kwenda nyumbani kwao nikatoe mahari ili nimiliki mke rasmi.
Kweli tarehe za mwanzo wa mwezi January mwaka huu, nilipeleka ujumbe wangu kwao na binti, tukakubaliana mahari, nikalipa kiasi chote cha mahari tulichokubaliana.
Sasa wakati tukiwa tumeanza taratibu zingine ili tufunge ndoa ya bomani kwa maana tunatofauti ya kiimani Kati yetu, Ndipo nimegundua hii kitu.
Binti ana maruhani/majini, nimeshuhudia kwa macho yangu akifanya jambo lisilo la kawaida.
Tulikiwa tunakula chakula wote, mara gafla akaanza kudai kifua kinamuuma na akaanza kujishika kifua chake karibu na shingo na kujibana.
Kwakuwa sikuwahi kumuona kwenye hali hiyo, Nilinyanyuka gafla kutoka kweny kiti nilichokuwa nimekaa ili kumpa msaada Lakini nilikutana na upinzani wa hali ya juu sana kutoka kwake. Niliomba msaada kwa majilani ndipo walitokea watu wa wakunisaidia na hapo hapo nikapiga simu kwao ili nipate ufafanuzi labda hii hali wanaijua, wakaniambia nimwache atatulia mwenyewe.
Baada ya siku mbili kupita nimekaa nae chini kumuuliza kwanini alikuwa vile majibu yake ni kuwa ana Majini, nimejaribu kuuliza baadhi ya ndugu zake nao kumbe wanafahamu.
Nimemuuliza kwanini hakuniambia mapema majibu yake eti ningemuacha, sasa nifanyeje ndugu zangu na mahari nimeshalipa?
🤣🤣🤣Tukisema ndoa ni utapeli mnatuona wabaya, umeshauziwa mbuzi kwenye gunia 🐼
😃😃Ubaya upo umefika mbali 😀😁😁😁 sio kwa ubaya
Unaonekana muoga sana siku akija jini wa karet kutoka Shanghai unakimbia mke 🤣🤣🤣
Ungetoa mchango bila kunitukana usingepungukiwa na kitukwanza wewe ni mjinga tu kabla ya kwenda kwao direct ulutakiwa ufanye ujasusi yakinifu kupitia wamama na wazee wanahoijua hiyo familia na binti specifically.
Pili ndoa ya bomani kama mwanamke ni muislam ni ngumu kumuoa labda kama wewe ndie muislam na mwanamke ni mkristo.
Huyo ni chaguo lakooooWakuu kwema?
Ipo hivi, nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani Kwa muda wa miaka mitatu.
Mwanzoni mwa mwaka huu nikasema sasa ni muda muafaka wa Mimi kwenda nyumbani kwao nikatoe mahari ili nimiliki mke rasmi.
Kweli tarehe za mwanzo wa mwezi January mwaka huu, nilipeleka ujumbe wangu kwao na binti, tukakubaliana mahari, nikalipa kiasi chote cha mahari tulichokubaliana.
Sasa wakati tukiwa tumeanza taratibu zingine ili tufunge ndoa ya bomani kwa maana tunatofauti ya kiimani Kati yetu, Ndipo nimegundua hii kitu.
Binti ana maruhani/majini, nimeshuhudia kwa macho yangu akifanya jambo lisilo la kawaida.
Tulikiwa tunakula chakula wote, mara gafla akaanza kudai kifua kinamuuma na akaanza kujishika kifua chake karibu na shingo na kujibana.
Kwakuwa sikuwahi kumuona kwenye hali hiyo, Nilinyanyuka gafla kutoka kweny kiti nilichokuwa nimekaa ili kumpa msaada Lakini nilikutana na upinzani wa hali ya juu sana kutoka kwake. Niliomba msaada kwa majilani ndipo walitokea watu wa wakunisaidia na hapo hapo nikapiga simu kwao ili nipate ufafanuzi labda hii hali wanaijua, wakaniambia nimwache atatulia mwenyewe.
Baada ya siku mbili kupita nimekaa nae chini kumuuliza kwanini alikuwa vile majibu yake ni kuwa ana Majini, nimejaribu kuuliza baadhi ya ndugu zake nao kumbe wanafahamu.
Nimemuuliza kwanini hakuniambia mapema majibu yake eti ningemuacha, sasa nifanyeje ndugu zangu na mahari nimeshalipa?
hapo kauziwa GUNIA TUPU, bora lingekuwa gunia lenye mbuzi ndani.Tukisema ndoa ni utapeli mnatuona wabaya, umeshauziwa mbuzi kwenye gunia 🐼
Mpeleke kanisani kwa mchungaji katunzi mawneo ya mbagala huko Cag church aisee majini yote yataondoka hapo utaishi naw kwa amani nilifanya hv mwenzio kwa mdada kama huyo. Ila sio.kila mahala nasisitiza kwa mchungaji katunzi cag church.Wakuu kwema?
Ipo hivi, nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani Kwa muda wa miaka mitatu.
Mwanzoni mwa mwaka huu nikasema sasa ni muda muafaka wa Mimi kwenda nyumbani kwao nikatoe mahari ili nimiliki mke rasmi.
Kweli tarehe za mwanzo wa mwezi January mwaka huu, nilipeleka ujumbe wangu kwao na binti, tukakubaliana mahari, nikalipa kiasi chote cha mahari tulichokubaliana.
Sasa wakati tukiwa tumeanza taratibu zingine ili tufunge ndoa ya bomani kwa maana tunatofauti ya kiimani Kati yetu, Ndipo nimegundua hii kitu.
Binti ana maruhani/majini, nimeshuhudia kwa macho yangu akifanya jambo lisilo la kawaida.
Tulikiwa tunakula chakula wote, mara gafla akaanza kudai kifua kinamuuma na akaanza kujishika kifua chake karibu na shingo na kujibana.
Kwakuwa sikuwahi kumuona kwenye hali hiyo, Nilinyanyuka gafla kutoka kweny kiti nilichokuwa nimekaa ili kumpa msaada Lakini nilikutana na upinzani wa hali ya juu sana kutoka kwake. Niliomba msaada kwa majilani ndipo walitokea watu wa wakunisaidia na hapo hapo nikapiga simu kwao ili nipate ufafanuzi labda hii hali wanaijua, wakaniambia nimwache atatulia mwenyewe.
Baada ya siku mbili kupita nimekaa nae chini kumuuliza kwanini alikuwa vile majibu yake ni kuwa ana Majini, nimejaribu kuuliza baadhi ya ndugu zake nao kumbe wanafahamu.
Nimemuuliza kwanini hakuniambia mapema majibu yake eti ningemuacha, sasa nifanyeje ndugu zangu na mahari nimeshalipa?
Ilishawahi kunitokea znz, siku hiyo Nimetoka zangu home mida ya saa 2 usiku naenda zangu kula nyama choma na beerMara siku majini yameamka hayataki kiti apigwe chuma mboga badala yake ubong’oke wewe ndo utaelewa 😹😹😹
😹😹😹 Em wait… kabla hujaendelea nipe namba za huyo ndugu yako Afisa mkubwa na mshauri wa mambo ya uchumi serikalini 🤣Ilishawahi kunitokea znz, siku hiyo Nimetoka zangu home mida ya saa 2 usiku naenda zangu kula nyama choma na beer
Ile kutoka tu getini upande wa pili navuka nikamuona demu mkali haswaa, nikampa hi na nikamuuliza unaenda wapi? Akaniambia naenda kutafuta kula nikamwambia twende home basi ukale.
Pale niliko kuwa naishi nilikuwa na Ndugu yangu ambaye alikuwa ni Afisa Mkubwa na ile nyumba ilikuwa na ulinzi mkali lakini wale Maaskari walikuwa ni Wanangu sana na tulikuwa na House Boy tu.
Kufika ndani na yule msichana kwanza alikuwa ananunukia na alikuwa Chotara na sijui genye gani zilinikuta mpaka nikaenda naye ndani.
Fika ndani nikampakulia Wali na maini rosti na juice ya kushushia. Na ndugu yangu nilikuwa nakaa kwake alikuwa ni ofisa mkubwa sana wakati mwingine alikuwa ni mshauri wa Serikali upande wa mambo ya uchumi na hakuwa mtu wa kuishi sana pale nyumbani.
Baada ya yule msichana kuumaliza kula basi genye zikanipanda kiwango cha SGR nikamuita chumbani akaja nikaanza kumchojoa. Nilimtoa baibui lake akawa wamebaki na bra nikamchoa skin jeans na hapo genye zipo juu ile mbaya.
La haula ile namchojoa bra aisee alitoa Sauti ya kiume 👹👹 NIACHE NAKWAMBIA. Aisee nilitetemeka mnoo 😑😑😑 mpaka mkojo ukanitoka. Baada ya pale akaanza kupiga kichwa ukuta mpaka vioo vya madirisha vikawa vinatikisika. Nilikuwa naogopa mnoo 😑😑😑
Kajigonga ukutani kwa muda mrefu na Mimi hapo nimelowa jasho mwili mzima.
...........
Oi Lamomy itaendelea.....