Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

Hatuwezi kuiongelea hiyo maana hatujasikia story ya upande wa pili.

Hata kama house girl ndo kaachiwa pesa wakati mke hayupo mwenye maamuzi ya jinsi pesa itumike na chakula gani kinunuliwe ni mama.
sawa mke mla ganchi ukishirikiana na house girl. mkuu kuna vitu ambavyo mwanamke mwenye akili atamfanyia mumewe lkn katu hawezi kumshirikisha hata mtoto wake. shida sio kubana hela, nilichoshangaa ni yeye kushirikiana na house girl, kauli ya weka pale tunapowekaga unaielewa, msije tu mkaanza kumtumia house girl kama mtu kati kwa michepuko yenu,
 
Bado hatuwezi kumjudge inawezekana hiyo pesa inayobaki ina matumizi ya msingi. Na kubakiza pesa sio kitu cha ajabu...

Labda kama anapika chakula chini ya kiwango hapo ndo tatizo.

Wakati mwingine inatokea issue ya ya buku tu unakuwa huna na umeachiwa 10,000 asubuhi. Unamwambia mume anakushangaa.

Sio pesa yote unayoachiwa nyumbani ni kwaajili ya chakula. Kuna emergency na mambo mengine
 
Muonee huruma mwenzio.
 
Hivi humu ndani wote mmeoa magalikipa? Kila mtu anadai kumrudisha mke nyumbani, je kibarua wanaacha? Kuna tatizo si bure JF
 
sawa mamiloo ujumbe umekufikia ila bado unaamisha magoli, au na wewe huwa unamshirikisha house girl kwenye ishu zako na mumeo?
 
😂😂😂 Wanaume tunasuffer vitu vinavyofanana.
 
Kaka na kuelewa vizuri sanaa wanawake wengine ni kero, ndoa kama hujakomaa kiakili nashauri vijana kuachana nao,

Mimi ugonjwa wangu siwezi kuzini hata iwe siku moja na siwezi kukaa mwezi bila utelezi hicho kime nifanye nioe wake wawili for emergence incase moja nikimpa likizo mgine ipo ku-cover nafasi kwa hivo nimeishi bila stress za wanawake, usije ukabembeleza mwanamke kubaki akiomba nauli kuenda makwao kama unao mpe hiyo hiyo siku.
 
Ndio maan wanaume hawaishi muda mrefu and usipoweza control your emotions ndio watu wanamaliza kabisa,u need to be careful sn na mtu mpya maishani mwako
Mkuu pole sana kwa kuoa uzaramuni🤣 wao tabia za kihuni kwao ni kawaida. Ameenda mafunzo huyo akirudi kinawaka tena atakagua kama umesajili koloni jipymaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…