Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Ninakupenda piaNijibu vipi? 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninakupenda piaNijibu vipi? 😀
Duh😅Ninakupenda pia
sawa mke mla ganchi ukishirikiana na house girl. mkuu kuna vitu ambavyo mwanamke mwenye akili atamfanyia mumewe lkn katu hawezi kumshirikisha hata mtoto wake. shida sio kubana hela, nilichoshangaa ni yeye kushirikiana na house girl, kauli ya weka pale tunapowekaga unaielewa, msije tu mkaanza kumtumia house girl kama mtu kati kwa michepuko yenu,Hatuwezi kuiongelea hiyo maana hatujasikia story ya upande wa pili.
Hata kama house girl ndo kaachiwa pesa wakati mke hayupo mwenye maamuzi ya jinsi pesa itumike na chakula gani kinunuliwe ni mama.
Twende churchDuh😅
Bado hatuwezi kumjudge inawezekana hiyo pesa inayobaki ina matumizi ya msingi. Na kubakiza pesa sio kitu cha ajabu...sawa mke mla ganchi ukishirikiana na house girl. mkuu kuna vitu ambavyo mwanamke mwenye akili atamfanyia mumewe lkn katu hawezi kumshirikisha hata mtoto wake. shida sio kubana hela, nilichoshangaa ni yeye kushirikiana na house girl, kauli ya weka pale tunapowekaga unaielewa, msije tu mkaanza kumtumia house girl kama mtu kati kwa michepuko yenu,
Muonee huruma mwenzio.Kuishi mwenyewe ni bora zaidi, kuna wanawake kazi yao ni kukupa stress 24/7, unakuta jitu libinafsi na wala halina shukrani hata ulifanyie nini!
Mimi wangu alianza chokochoko za naenda kwetu, huo ukawa wimbo kila muda. Kuna siku akajichanganya, naomba nauli naondoka, nikampa chaap, asubuhi nikampeleka Ubungo. Sasa mwaka wa 3 huu maisha yamekuwa na amani sana, kila siku analilia kurudi..huwa nawaza arudi kunipa stress tena?
NB: Mnaotaka kuoa mjitafakari mara mbili, kuna muda wale jamaa wa KATAA NDOA, wana hoja!
Wengi wanaokuwa na tabia za udokozi, wengi wao ni wale wanaojipa majukumu yasiyokuwa ya msingi ili waonekane kwake hela ipo. Kutafuta umaarufu hasa kwa ndugu zake!Nakazia
Hizo tabia ziko kwenye damu.
Itakuwa ni mwanamke labda.Bidhaa ni ipi kwenye hii biashara?
TutakomaAcha gubu mkuu, kuishi na mwanamke hakujawahi kuwa simple...
dah kweli ndoa ni ajira. Naona unadai stahiki zako.Wengine tunatamani kupewa likizo hata ya siku mbili twende kwetu hatupewi .
Hivi humu ndani wote mmeoa magalikipa? Kila mtu anadai kumrudisha mke nyumbani, je kibarua wanaacha? Kuna tatizo si bure JFKuishi mwenyewe ni bora zaidi, kuna wanawake kazi yao ni kukupa stress 24/7, unakuta jitu libinafsi na wala halina shukrani hata ulifanyie nini!
Mimi wangu alianza chokochoko za naenda kwetu, huo ukawa wimbo kila muda. Kuna siku akajichanganya, naomba nauli naondoka, nikampa chaap, asubuhi nikampeleka Ubungo. Sasa mwaka wa 3 huu maisha yamekuwa na amani sana, kila siku analilia kurudi..huwa nawaza arudi kunipa stress tena?
NB: Mnaotaka kuoa mjitafakari mara mbili, kuna muda wale jamaa wa KATAA NDOA, wana hoja!
Kweli ni ajira kwa baadhi ya watu.dah kweli ndoa ni ajira
sawa mamiloo ujumbe umekufikia ila bado unaamisha magoli, au na wewe huwa unamshirikisha house girl kwenye ishu zako na mumeo?Bado hatuwezi kumjudge inawezekana hiyo pesa inayobaki ina matumizi ya msingi. Na kubakiza pesa sio kitu cha ajabu...
Labda kama anapika chakula chini ya kiwango hapo ndo tatizo.
Wakati mwingine inatokea issue ya ya buku tu unakuwa huna na umeachiwa 10,000 asubuhi. Unamwambia mume anakushangaa.
Sio pesa yote unayoachiwa nyumbani ni kwaajili ya chakula. Kuna emergency na mambo mengine
😂😂😂 Wanaume tunasuffer vitu vinavyofanana.Umuofia kwenu!!
Kama mada ilivyo, nimempeleka kwanza kwao kwa muda usiopungua miezi miwili.....akajifunze kitu (kama ni mwenye kujifunza). Siku moja tu baada ya kutoka kwake;........
1. Leo kwa mara ya kwanza, katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu, nimefanikiwa kutulia nyumbani saa mbili usiku na kuangalia taarifa ya habari mwanzo mwisho. Kabla, ilikuwa sikai maana nikibadilisha channel tu na kuweka kituo changu pendwa cha StarTv kuangalia taarifa basi manung'uniko yenye kukera huanza kukimbizana kutoka nje ya kinywa chake.......
"Tutaacha vp kubadilishiwa channel wakati TV sio yetu na hata bei yake hatuijui..."
"Hata kuzima we zima tu, nini kubalisha channel" Dah
2. Nimepumzika kushuhudia mabegi na makwapa ya mke wangu yakionwa na watoto muda wote awapo nyumbani. Jitihada za kumrekebisha ili aendane na desturi yangu, daima huenda sambamba na ugomvi....
3. Nimepumzika kuona sura ya kununanuna pale ninapotoa maelekezo....
4. Udokozi wa vielfu tano tano vyangu katika tigopesa yangu utakoma kwa muda....
5. Nitapumzika kusikia matusi kama 'nyoko we' n.k yanayotolewa kwa watoto kila siku....
6. Nitafurahia vichenji vinavyobaki katika matumizi madogomadogo na kuziweka mezani. Kwa kawaida hivi hutoweka dakika moja tu baaada ya kuviweka.....hata kama akiwa amelala basi huamka ghafla na kuvichukua kisha kulala tena.
Mbona nina furaha sana sasa?!!! Atarudi kweli?!!!!! Arudi ili nije kupata stress tena?!!!!!!!
Ndoa..........mh!
Kaka na kuelewa vizuri sanaa wanawake wengine ni kero, ndoa kama hujakomaa kiakili nashauri vijana kuachana nao,Kuishi mwenyewe ni bora zaidi, kuna wanawake kazi yao ni kukupa stress 24/7, unakuta jitu libinafsi na wala halina shukrani hata ulifanyie nini!
Mimi wangu alianza chokochoko za naenda kwetu, huo ukawa wimbo kila muda. Kuna siku akajichanganya, naomba nauli naondoka, nikampa chaap, asubuhi nikampeleka Ubungo. Sasa mwaka wa 3 huu maisha yamekuwa na amani sana, kila siku analilia kurudi..huwa nawaza arudi kunipa stress tena?
NB: Mnaotaka kuoa mjitafakari mara mbili, kuna muda wale jamaa wa KATAA NDOA, wana hoja!
Mkuu pole sana kwa kuoa uzaramuni🤣 wao tabia za kihuni kwao ni kawaida. Ameenda mafunzo huyo akirudi kinawaka tena atakagua kama umesajili koloni jipymaana
Kwani hapa tunajadili mada au tunaambiana kwamba ndo huwa tunafanya. Kwanini uchukulie personal kwangu?sawa mamiloo ujumbe umekufikia ila bado unaamisha magoli, au na wewe huwa unamshirikisha house girl kwenye ishu zako na mumeo?
NAKAZIAKATAA NDOA